Jikite kwenye Mada ndg kuwa zeruzeru si dhambi or criminal, huyo Zahera unayemsifia anawahaadaa yanga ksb anawachangia yaani Yanga anacheza na Lipuli yeye anawaambia anaenda Congo kumbe Yupo kambini kwa as Vita kisa eti assistant coach wa Congo?? Ngoja mfungwe na Lipuli leo, pia Akilimali mlimzushia kisukari kapiga push up Jana yuko fiti mpeni uwenyekiti wa clubZahera asingemjibu huyu zeruzeru! Maana kimya ni jibu tosha!
Hivi ndugu yangu hayo mateam makubwa duniani yote siku zote kwa media nani anaongelea team? Kocha ndiye mzungumzaji mbele ya media yeye ndio kazi yake kuongelea kila kitu hakuna kitu msemaji wa Team. Huyu Manara anauza sura unaongelea team kama nani wewe ratibu media tu kuongea sio kazi yako. Team ikifungwa au kushinda sifa anapewa kocha sio msemaji wa team lazima tubadilike. Hivi umeshawahi kumuona msemaji wa Liverpool, Man u, Barca sijui Real ... ni kocha tu anaongelea mambo ya team kuna mpaka madoctor lakini wanampa taarifa tu kocha kuongelea hata wagonjwa.Mwinyi ni msemaji wa klabu, kocha mtendaji au ni kocha?
.
Kocha mwenye CV ya maana hawezi kuwa kama huyo bogus.
Angalia DRC Fifa ranking ni ya ngapi, 51 wakati Tanzania ni 137.Yanga haongozi ligi! Kwa kuwa simba hajacheza mechi 27 tuna 20 tu kumbuka.
.
Zahera ni assistant coach wa DRC na wapo wawili hivyo yeye ni mpiga domo tu na ndio maana siku hizi DRC haina mafanikio katika soccer haishiriki AFCON wala nini ipoipo tu kama sisi Tanzania.
Subiri wacheze mechi ya kufuzu ndo ujue kama hawataenda AFCON au la.Sasa hiyo Rank yao inawasaidia nini wakati hawashiriji AFCON wala WORLD CUP kama Tanzania?
Match ya mwisho wapo na Liberia hapo DRC, wakishindwa ndio post yako itakuwa na mashikoSasa hiyo Rank yao inawasaidia nini wakati hawashiriji AFCON wala WORLD CUP kama Tanzania?
itashiriki hii AFCON?
Subiri mechi ya mwisho wapo na Liberia atakufa hapo DRC na wanafuzu.itashiriki hii AFCON?
Hizo zote ulizozitaja zinawaandishi wa habari.Hivi ndugu yangu hayo mateam makubwa duniani yote siku zote kwa media nani anaongelea team? Kocha ndiye mzungumzaji mbele ya media yeye ndio kazi yake kuongelea kila kitu hakuna kitu msemaji wa Team. Huyu Manara anauza sura unaongelea team kama nani wewe ratibu media tu kuongea sio kazi yako. Team ikifungwa au kushinda sifa anapewa kocha sio msemaji wa team lazima tubadilike. Hivi umeshawahi kumuona msemaji wa Liverpool, Man u, Barca sijui Real ... ni kocha tu anaongelea mambo ya team kuna mpaka madoctor lakini wanampa taarifa tu kocha kuongelea hata wagonjwa.
Acha kumkana Mbumbumbu mwenzakoAisee! Nyie washabiki maandazi ni wa Manara na sio Simba.
Huyo mwinyi anawezaje kutuhujumu wakati tulivyowafumua marinda yanga na yeye alikwepoNilishalisema pahala, manara ni msaka huruma za watumia Tecno za 70,000. Simba wanatafuta sababu tu za kujishikiza wakipigwa waseme mwinyi kawahujumu.
Barafu la moto
Duuh shida sana,haijashiriki world cup wala AFCON?!?Sasa hiyo Rank yao inawasaidia nini wakati hawashiriji AFCON wala WORLD CUP kama Tanzania?