Zahera: Simba hawana uwezo wa kumsajili Makusu

Zahera: Simba hawana uwezo wa kumsajili Makusu

Balance sheet ya Tanzania ina size gani? Budget nzima ya serikali ni kiasi gani in terms of US Dollars? Jibu hayo maswali tuone nani ni mwehu hapa.
Kasikilize hotuba ya bajeti.
Mtake msitake simba inatunishiana misuli na mazembe, vita na baadhi ya waarab ktk kuwania wachezaji.
 
Balance sheet ya Tanzania ina size gani? Budget nzima ya serikali ni kiasi gani in terms of US Dollars? Jibu hayo maswali tuone nani ni mwehu hapa.
Unaposema serikali haiwezi kumlipa Messi una maana kuwa Messi ana pesa kuliko serikali ya Tanzania?

Tumia akili kuwaza acha kuwaza na kwapa.
 
Bajeti kubwa,unavyoona itafikia ya bil 80 ya Al Ahly ya misri ?Yeye kawekeza bil 20 tu na tena ipo city bank kwenye fixed account na kwa makubaliano yeye 49% tayari na klabu kupitia wanachama wanunue hisa 51%,mpaka sasa zoezi la klabu kuuza hisa halijaanza......fikiria kwa makini hii ni biashara,anaweza kuongeza bajeti lakini sio kwa levo ya As vita na TP mazembe bado ila kama klabu itaweza na wao kutoa pesa(kuuza hisa kwa wanachama) basi baada ya miaka 10 .(Na wewe ujiandae kuwa mwana hisa sio mpiga domo).
Kwanza kabisa mimi si mpiga domo kama ulivyoniainisha, mimi ni mwanachama halali wa klabu ya Simba.
.
Na kwa kukufahamisha ndugu chura Mo anautajiri mkubwa mno kiasi kwamba anao uwezo wa kumiliki Al-ahly na Zamalek zote sasa basi hakuna mfanyabiashara makini yeyote yule duniani anaeweza kufanya biashara kichaa yani awekeze shilingi mbili alafu apate shilingi moja haiwezekani.
.
Mpango wa Mo ni kuifanya klabu yetu pendwa baada ya miaka hata mitano tuweze kuwa mabingwa wa Africa na hili linawezekana hatuna masiala katika hili pesa zipo, nia tunayo na uwezo wa kufanya hivyo utakuwepo.
.
Rejea ya mmiliki wa Chelsea fc
 
Tukiweka ushabiki pembeni na kuja kwenye uhalisia, kilichosemwa ni ukweli mtupu
 
-Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia klabu ya Simba hawana uwezo wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya As Vita Club Jaen Mark Makusu. Kocha huyo amedai Sio Makusu tu hata wachezaji wengi wa As Vita Club na TP Mazembe ni vigumu sana kusajiliwa na timu za Tanzania kwa sababu wanalipwa mishahara mikubwa na posho za kutosha timu hizo zinaendeshwa kama timu za ulaya tofauti na Simba na Yanga. Zahera ametoa mfano Makusu analipwa milioni 39 kwa mwezi mshahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shut up Zahera u talk too much bro
 
Iv anajua kama Simba tulikuwa na kocha Liechantre ? Alikuwa analipwa zaidi mcongo mwenzie ...embu nyie watu wa yanga mwambieni huyo kocha
 
Soma nilichoandika na jitahidi kuelewa. Kwa taarifa yako balance sheet ya Barcelona inaizidi ya Tanzania

$ 14b ni budget ya 2018/2019
$ 4b ni thamani ya Barca as of June 2018.

Angalia hizo attachment hapo chini:-

Screenshot_20190304-192358.jpg

Screenshot_20190304-192236.jpg
 
Back
Top Bottom