Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Acha kuwehuka. Hujui serikali wewe.
Balance sheet ya Tanzania ina size gani? Budget nzima ya serikali ni kiasi gani in terms of US Dollars? Jibu hayo maswali tuone nani ni mwehu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwehuka. Hujui serikali wewe.
Kasikilize hotuba ya bajeti.Balance sheet ya Tanzania ina size gani? Budget nzima ya serikali ni kiasi gani in terms of US Dollars? Jibu hayo maswali tuone nani ni mwehu hapa.
Unaposema serikali haiwezi kumlipa Messi una maana kuwa Messi ana pesa kuliko serikali ya Tanzania?Balance sheet ya Tanzania ina size gani? Budget nzima ya serikali ni kiasi gani in terms of US Dollars? Jibu hayo maswali tuone nani ni mwehu hapa.
We unauhakika gani jamaa analipwa milioni39??or zahera ndo reliable source yako ya habarijibu unalo,Simba wana mchezaji anayelipwa million 39 kwa mwezi?
Na tukimuajiri tunamlips mara tana ya mshahara anaopata ila kazi yake kubeba mabegi ya wachezajidawa ni kumsajili Zahera kwanza then afute huyo Makusu, Simba timu kubwa
Kwanza kabisa mimi si mpiga domo kama ulivyoniainisha, mimi ni mwanachama halali wa klabu ya Simba.Bajeti kubwa,unavyoona itafikia ya bil 80 ya Al Ahly ya misri ?Yeye kawekeza bil 20 tu na tena ipo city bank kwenye fixed account na kwa makubaliano yeye 49% tayari na klabu kupitia wanachama wanunue hisa 51%,mpaka sasa zoezi la klabu kuuza hisa halijaanza......fikiria kwa makini hii ni biashara,anaweza kuongeza bajeti lakini sio kwa levo ya As vita na TP mazembe bado ila kama klabu itaweza na wao kutoa pesa(kuuza hisa kwa wanachama) basi baada ya miaka 10 .(Na wewe ujiandae kuwa mwana hisa sio mpiga domo).
Hahahaaaaa umeua mkuunyie vyura msajili achen kuleta ubwabwa
mnatumia mda mwingi kuiponda simba kuliko mnasahau hadi kuchangia team yenu
kamusoko kwao wamajua yupo kwenye soka la kulipwa Tz kumbe anashinda kwenye matv kuomba michango
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema serikali haiwezi kumlipa Messi una maana kuwa Messi ana pesa kuliko serikali ya Tanzania?
Tumia akili kuwaza acha kuwaza na kwapa.
Bichwa kubwa akili mavi.Wewe ndiwe unaetakiwa kutumia akili. Ulielewa post yangu ya mwanzo au....?
Wewe digidigi usidhani serikali ni umoja wa walima matikiti bonde la mtu Ruvu.Achilia mbali Simba, hata serikali ya jiwe haina uwezo wa kumlipa Messi bila kufirisika pamoja na kudhulumu watu.
Utajiri wa MO ni utajiri wa Simba ndio maana amewekeza 49% simba ili simba iwe iendelee na yeye apate mrejesho, nyie endeleeni kuombaomba ndio mtaji wenu
Shut up Zahera u talk too much bro-Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaambia klabu ya Simba hawana uwezo wa kumsajili mshambuliaji wa klabu ya As Vita Club Jaen Mark Makusu. Kocha huyo amedai Sio Makusu tu hata wachezaji wengi wa As Vita Club na TP Mazembe ni vigumu sana kusajiliwa na timu za Tanzania kwa sababu wanalipwa mishahara mikubwa na posho za kutosha timu hizo zinaendeshwa kama timu za ulaya tofauti na Simba na Yanga. Zahera ametoa mfano Makusu analipwa milioni 39 kwa mwezi mshahara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma nilichoandika na jitahidi kuelewa. Kwa taarifa yako balance sheet ya Barcelona inaizidi ya Tanzania
Kwa nini zahera yuko bize na simba?
Acha kufananisha Simba na vitu vya kipumbavu!!Achilia mbali Simba, hata serikali ya jiwe haina uwezo wa kumlipa Messi bila kufirisika pamoja na kudhulumu watu.
Bichwa kubwa akili mavi.