Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hii familia ya mzee Zahir Zorro ni waumini wa dini gani? Nimeshangaa huu msiba wa Maunda unavyoendeshwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ratiba wameandika misa itafanyika nyumbaniHii familia ya mzee Zahir Zorro ni waini wa dini gani? Nimeshangaa huu msiba wa Maunda unavyoendeshwa!!
Marehem alibadilisha dini maana mmewe ni mkristoHii familia ya mzee Zahir Zorro ni waini wa dini gani? Nimeshangaa huu msiba wa Maunda unavyoendeshwa!!
Dini yake inakuhusu Nini you are the most stupid person under the sun. Hovyo kabisaHii familia ya mzee Zahir Zorro ni waini wa dini gani? Nimeshangaa huu msiba wa Maunda unavyoendeshwa!!
Asante kwa kuja kucomment kwenye uzi wangu🤣🤣Dini yake inakuhusu Nini you are the most stupid person under the sun. Hovyo kabisa
NimekusomaMzee Zahir zoro ni muislam asiyeuishi uislam. Maundo alibadili dini kuwa mkristo sababu aolewe na alikuwa aolewe ndoa ya kikatoliki hivi karibuni
Marehem alibadilisha dini maana mmewe ni mkristo
Baba wa marehem ni muislam
Ni muislamuHii familia ya mzee Zahir Zorro ni waumini wa dini gani? Nimeshangaa huu msiba wa Maunda unavyoendeshwa!!
Nakusahisha sio catholic ni LutheranMzee Zahir zoro ni muislam asiyeuishi uislam. Maunda alibadili dini kuwa mkristo sababu aolewe na alikuwa aolewe ndoa ya kikatoliki hivi karibuni
Ni KKKT banaMzee Zahir zoro ni muislam asiyeuishi uislam. Maunda alibadili dini kuwa mkristo sababu aolewe na alikuwa aolewe ndoa ya kikatoliki hivi karibuni