Zahoro matelephone

KANUNI: Usinunue bidhaa yoyote ya electronic iliyotumika ni hasara
Ndio kanuni nayotumia mimi ,siku moja nimeenda kununua TV kuna zile sample ambazo zinakuwa dukani tv tulipatana 630k,wakataka kunipa zile za dukani nikagoma nikawaambia nataka ya kwenye boksi nifungue mwenyewe tuijaribu hapa.

Wakasema kama unataka sealed ni 650k nikasema hamna shida nikaongeza 20.
 
Simu nyingine wananunua kwa watu mtaani halafu wanaweka dukani, ndio maana sikuhizi ni Kawaida kununua simu dukani, keshokutwa unatafutwa na polisi simu ni ya wizi..

Ni kawaida kununua simu iliyobadilishwa IMEI unakuta status ni Custom, uki restore tuu kwisha network, ukilazimisha unadakwa.

Bora ununue mid range phones hazijafanyiwa ukanjanja sana kuliko flagship, k.koo Kwenye Simu wengi ni wasanii huyo nimmojawapo tuu..

Wanauza Simu refurb kwa jina la mpya, ukipewa boks na ukiona inavyowaka unajaaa,
Wanauza simu mbovu kwa jina la Used..
 
Dubai ni kitovu ambacho asilimia kubwa ni watu wenye mitaji wanaweza kukusanya uchafu wowote duniani na kurekebisha .
Kuna simu zinatoka tanzania mbovu zinapelekwa dubai na kurudi tena zikiwa mpya.
Kwa hio jamaa anaokota simu huku bongo anazipeleka Dubai zinapakwa rangi alafu anazirudisha anaziuza kwann watu kama hawa wanapewa leseni wafanye biashara wauze uchafu
 
Kwa hio jamaa anaokota simu huku bongo anazipeleka Dubai zinapakwa rangi alafu anazirudisha anaziuza kwann watu kama hawa wanapewa leseni wafanye biashara wauze uchafu

Tanzania hakuna sehemu kuna idara ya hayo mambo japo ilitakiwa kuwa TBS ikiwa na kitengo maalumu kwa dunia ya sasa kikiwa ila wamepewa TCRA ambao wao ni mawasiliano sio sumu wala athari.
 
Ligi hii
 
Ukimuona na kanzu yake kujifanya mtu wa swala kumbe tapeli mkubwa!! Hii mijizi sana na ndugu zao wa DP World!!

Mwisho kabisa... bure ni ghali!
 
Samsung tolea likishavuka mwaka kwenda mwaka mwingine na tolea jipya likaingia sokoni basi hilo la zamani ukiikuta sokoni kula nduki ni vishoka wa china wanaunda simu fake.
 
Wanasema Dubai lakin daah Dubai watakua wanauza vitu vya hovyo sanaa
Au pengine mbagala kuna sehemu itakua inaitwa Dubai unaeza ukawa unalalamika lakini makosa kumbe ni yetu hatujauliza ni Dubai ya wapi??
Dubai na UK ndio maneno yao usiwaamini kabisa.

Pale kariakoo wananunua simu zilizochoka kwa watu wa mitaaani. Anaisafisha na kubadilosha cover nzuri.

Unaikuta mezani kabandika stika anakwambia ni Used from Dubai au Uk.
 
Wanasema Dubai lakin daah Dubai watakua wanauza vitu vya hovyo sanaa
Au pengine mbagala kuna sehemu itakua inaitwa Dubai unaeza ukawa unalalamika lakini makosa kumbe ni yetu hatujauliza ni Dubai ya wapi??
πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ™„πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa unanivunja mbavu Mzee daah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu naona customer care pale kaweka wadada yaan ata ukitaka kumuwasha kibao kimoja akili imkae sawa unamuonea huruma nilichoamua ni kuondoka tu
Mie nimenunua simu used hasa kutoka England kuna jamaa aliniuzia jamaa ni legit nimekaa nayo miaka mitatu tatizo ilonalo labda ni kuishiwa voucher tu sasa mother simu yake ikawa imeharibika nikaona ngoja niingie zahoro nikamchukulie simu imsogeze some days na matangazo si naona Facebook anauza zile Samsung ultra laki tano tu nikaenda kuchukua
Simu inachemka sanaa ukiweka chaji dakika 30 imejaa ukitumia unaweza tumia dakika 15 chaji imeisha nimerud kesho yake kuuliza napewa story sizielew nikahis labda Niko Peke angu mara naona wale wateja wenzangu wanalalamika kama mm walikosea duka walitaka duka la simu Ila wakaletwa duka la pasi na wakanunua daah nikajua apa tayar Zahor amekua mwizi
 

Hahhha zahoro mwenyewe anajificha kweny duka la Tv na kuna walinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…