Zahoro matelephone

alimuuzia mwanangu S9 kwa 400k, sk 2 tu simu inazimika na kuwaka yenyewe! Mwana akaenda wakampiga viswahili! Mwana akaniuzia Case. Nikaenda na Kaunda.

tukamuulizia Zahor.
Tukaambiwa hayupo.
kumbe kajificha duka la chini.
Ilikuwa km saa 11 jioni, tukamwambia kijana wake, una chaguo 1 ktk machaguo ma3: rudisha pesa, badilisha simu ama muda wa kufunga duka tunaondoka ote! Kufika saa 12 Zahor huyu hapa.
Akatoa nyengine!
 

Ndio ivyo jamaa anajificha mimi mwenyewe nilimkuta kweny Tv kule
 

Listi za kariakoo data zenu ninazo posta polisi
 
Polisi mlimlipa
 
Iyo ni used ya apa apa bongo au kenya apo used ya dubai nyokoo
 
Tatizo hii simu za used imeshikwa na wabongo mpaka tutakoma, ilikua kwa wazanzibar tu, kule flesh unapata simu safi??
 
Bora umenishtua nilikuwa nataka nikachukue s22 used maana bei kitonga sana nimeghairi ngoja nijichange nikachukue mpya.
Hata mimi nilikuwa najipanga niende ila nimeghairi halafu kwa nini ana maduka mawili kwenye jengo moja?
 
Simu used sio za kununua....
Ni ushauri tu nakupa mana nliwahi nunua hapo Google pixel! Inashka moto mpaka inababua paja.
 
Wanasema Dubai lakin daah Dubai watakua wanauza vitu vya hovyo sanaa
Au pengine mbagala kuna sehemu itakua inaitwa Dubai unaeza ukawa unalalamika lakini makosa kumbe ni yetu hatujauliza ni Dubai ya wapi??
Dubai hawauzi vitu vya hovyo. Huyo Zahoro atakuwa anatoa China huo uchafu wake kwa bei ya chini mno. Bei zake hapo nilishangaa ni chini kuliko za Guangzhou
 
Hapa cm angalau nzuri vivo na opp ila hizi zingine pasua kichwa
 
Hata mimi nilikuwa najipanga niende ila nimeghairi halafu kwa nini ana maduka mawili kwenye jengo moja?

Duka 1 la simu la pili ni Tv za haier na jezi za simba na yanga la tatu humu kuna simu na kesi za simu ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…