Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Dada zai hana baya uyo..daladala lake kuelekea maeneo ya kwa lulenge kwa mpalange nauli tunajipangia wenyewe abiria
 
Yaani nakwambia Kuna watu wanaweza kukutoa stress bila kutumia Nguvu,,,maana sio Kwa vibweka vile vya uswazi
Kina mc pilipili wanalazimishia na kujichekesha juuu yy anakuchekesha mkavu mkavu aiseee hata Mimi huwa nacheka mno mno
 
Back
Top Bottom