Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann?? Kweli ss hivi nimepewa talaka ya wino mwekundu
Intro: Let me talk to this girl meeen....
....aaahhaaa, yeeaah
Naamini unanipenda sio kwa vile mi rapper, ni jinsi navyokupa vitu roho inataka/

Una kila nachohitaji, una kila nachotaka wengi wamehustle juu yako wamevapa/

You know what, baby girl you are so lucky/

Jinsi navyowakwepa wanashikana mashati/

Mipango ishakaa sawa, usipoteze wakati/

Usicheze na midoli hao midoli hawang'ati/

Njoo ucheze nami sema nami kila wakati/

Mi nna future yako, we una future yangu/

Mi nina siri zako na we unatunza zangu/

Basi mshumaa kwenye upepo usiweke makusudi/

Baki innocent usijivike ugaidi, nitasema kwa upole sitosema kiukaidi/

Mpakaa nimefika level hizi baby ujue hii ni serious/

Hatuwezi kutengana kama bob na the wailors/

Kuwa maadui kama pac na notorious/

Siwezi kusema najua kila kitu , Wala huwezi kusema unajua kila kitu/

Kama kupenda ni kasoro sitaki kukamilika tena/

Wanafki wakileta ikibidi ntakua mkatili sana/

Siku hizi ni ngumu kila mtu kuaminika so sikuuzii maneno mi ni mtu wa vitendo/

Rapper wa mwisho wa ukweli, mkali asiye na skendo/

Pingu zitafungwa baby haitakua tena magendo/

Ikiwa hard time au good time zote kubali/

Madogy style, wima mikunjo na chali nipo tayari/

Makini Kama style uandishi na vocal zangu/

Napigana kuhakikishaa milele unabaki wangu/
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] Awwhhh babe mbona unazidi kunivuruga jomoooni

Nyie nyoka njooni huku talaka imechanwa, ndio kwanza “KUMEKUCHA” [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Babe sikuachi na homa ishaisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Ss hivi naacha kila kitu na nyie mnaoniita babe, babe MARUFUKU. Babe wangu mmoja tu Bwana Kantri

Dada Joannah hii mistari nataka nikaiweke mpk kwenye makaburi ya ukoo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaniiiii,wewe sio wa kawaida!si nilikwambia juzi unaweza tungiwa wimbo muda wote Hatimae yametimia,,,utulie Sasa!
 
Unique Flower umeona [emoji115]
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] Awwhhh babe mbona unazidi kunivuruga jomoooni

Nyie nyoka njooni huku talaka imechanwa, ndio kwanza “KUMEKUCHA” [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Babe sikuachi na homa ishaisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Ss hivi naacha kila kitu na nyie mnaoniita babe, babe MARUFUKU. Babe wangu mmoja tu Bwana Kantri

Dada Joannah hii mistari nataka nikaiweke mpk kwenye makaburi ya ukoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hua unajipa hata muda wa kutafakari kwanza kabla huja comment?

Mimi na nyinyi mnaonijadili hapa ni nani mwenye nongwa sasa?
We huondoki kwenye Uzi tangu Uzi umeanza umejaa kisirani unazozana na watu hivi huwa unashiba vizuri Kweli wewe?maana njaa zinaleta sana hasira
 
Back
Top Bottom