Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaaani zai hapana jamani...

Mimi mwenyewe wakati namsikia kwenye heka heka na kile kipindi cha Gea J2 cha Taarabu alikuwa ana Segment yake ya Uswazi hivyo hivyo nilikuwa natamani kweli kumuona...

Siku nimekuja kumuona nakumbuka Dr.Isack alimpost akielezea vyoo vya Uswazi nikajisemea tu.. ndiyo huyu kila siku unanifanya nacheka kama mwehu[emoji2]
Yaani nakwambia Kuna watu wanaweza kukutoa stress bila kutumia Nguvu,,,maana sio Kwa vibweka vile vya uswazi
 
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu. 😂😂😂

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake! 😂
Na akiongea anavyotanua pua sasa 🤣
 
Jamani kwema?

Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka?yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha kukuondolea msongo wa mawazo...We Cute Wife mwambie dada Yako apunguze fix...
NB:Kama humjui potezea tu maana zai mwenyewe ni celebrity wetu wa Uswazini

Zai kashazoea ndio reporter wetu wa mtaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani yule ndio mswazi Sasa!!Kuna Moja hiyo eti boss anatununulia pombe we unaleta mbulikumlomo unapigwa binge la baooo,maana unataka kutuharibia shughuli[emoji28][emoji28]

Kuna ile clip aliyoambiwa na mganga

Wewe mumeo sio kwamba hana huduma kuna shangingi kamshikilia, Zai akamwambia mganga eti utakuwa umenifananisha au unamwambia jirani yangu maana nikimuangalia huyo mume wa kufungiwa na shangingi jamaniii hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zai wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amuweke kabisa...

Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza[emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zai anazingua sana
 
Kuna ile clip aliyoambiwa na mganga

Wewe mumeo sio kwamba hana huduma kuna shangingi kamshikilia, Zai akamwambia mganga eti utakuwa umenifananisha au unamwambia jirani yangu maana nikimuangalia huyo mume wa kufungiwa na shangingi jamaniii hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani nilichekaaa hiyo!na Ile nyingine ya kuwaroga waume zao eti wanawavizia walale hawalali mwisho wanawapaka Kwa lazima huku wanawaonaaaa
 
Back
Top Bottom