Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]apunguze chumvi,Mwenyewe mkavu

Namuona Dstv,
 
Zai wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amuweke kabisa...

Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza[emoji1787]
Alinichekesha sana
 
Jamani kwema?

Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka?

Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha kukuondolea msongo wa mawazo...We Cute Wife mwambie dada Yako apunguze fix.

NB:Kama humjui potezea tu maana zai mwenyewe ni celebrity wetu wa Uswazini

Sasa si ungeweka hata uo uongo wake na sisi tusihamie burundi
 
Hii inatuhusu wale ndugu zangu wa Charambe, buza kwa mama kibonge, kwa mpalange, kwa lulenge, kwa kidagaa, mwakalomba mpaka kwa osama. 😂😂
 
Tulikuwa tunawachangamsha kipenzi 😂😂zai itakuwa ana undugu na@cute wife
Ni dada yake binamu,zai ni mtoto wa shangazi, cute ni wamjomba.....nilikuwa nawatilia live kwenye ule mchangamsho wenu nikasema Aaliyah na upole wake akivamiwa na wenye baby zao ataanza kulia,ila nikajua yupo binamu yake zai nikatulia😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom