Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Sema mimi mtakatifu siwezi kufanya hivyo lasivyo ningepita nao kweli hao babe zao [emoji23][emoji23][emoji23]
Watulie waenjoy na wapenz wao mm Nina muuza mchicha wangu huku sinahabari😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna ile aliyomkimbiza mtoto wake huku kafunga kitenge shingoni, wakaingia mpk barabarani afu anasema “Wanakula kiyoyozi (Upepo)”
😀😀Kuna alosema akitaka kuroga anaenda live havai nikabu Kwa Mganga hata akikutana na mtu anamwambia nimekuja kunyoosha mamboyangu
 
Zai kijiwenongwa ANAIJUA TABORA YOTE ESPECIALLY YA USWAHILINI rafiki yake na Geah Habib (hekaheka ) clouds fm
 
Wewe una jambo lako si bure! Kwanza unaweza vp kujibizana na wanawake muda wote huo? Duuh
Binti pole sana kumbe unaumia sio? Kumbe unanifuatilia muda wote huo,safi sana,endelea kunifuatilia,

Una uhakika gani kua hao ni wanawake? Wewe ni mgeni hapa JF?
 
[emoji3][emoji3]Kuna alosema akitaka kuroga anaenda live havai nikabu Kwa Mganga hata akikutana na mtu anamwambia nimekuja kunyoosha mamboyangu

Mambo yasiwe mengi hataki kujificha ficha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndio wanaopasua nazi barabarani mchana kweupe
 
Mambo yasiwe mengi hataki kujificha ficha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndio wanaopasua nazi barabarani mchana kweupe
😂😂😂Anasema yaani live na ukimuuliza anasema kaenda kujitengeneza kwani kaenda kumroga mtu ila zai😂😂😂
 
Yeye tu aniambie nitoke na vijora kabisa kkoo tukamalize shughuli, akitaka tuwe live aseme tumshtue Geah clouds [emoji2222][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Ila wewe dogo wewe unanifurahishaga sana
 
Back
Top Bottom