Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
Jamani kwema?

Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka?

Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha kukuondolea msongo wa mawazo...We Cute Wife mwambie dada Yako apunguze fix.

NB:Kama humjui potezea tu maana zai mwenyewe ni celebrity wetu wa Uswazini
 
Zai wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amuweke kabisa...

Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza[emoji1787]
 
Zai wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amuweke kabisa...

Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza[emoji1787]
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu. 😂😂😂

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa anacheka hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake! 😂
 
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu. 😂😂😂

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake! 😂
Eti ananukia machenza,jamaniii
Kaniacha hoi amwanavyoenda huko tegetaaa na bunju halafu wanakula kama wapo kwao khaaaa🤣
 
97425b62-fdbc-4bef-924c-be4674e0e1c2.jpg
 
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake! [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaaani zai hapana jamani...

Mimi mwenyewe wakati namsikia kwenye heka heka na kile kipindi cha Gea J2 cha Taarabu alikuwa ana Segment yake ya Uswazi hivyo hivyo nilikuwa natamani kweli kumuona...

Siku nimekuja kumuona nakumbuka Dr.Isack alimpost akielezea vyoo vya Uswazi nikajisemea tu.. ndiyo huyu kila siku unanifanya nacheka kama mwehu[emoji2]
 
Zai wa kijiwenongwa namfatilia tangu kwenye clouds kipindi cha taarabu kile cha Geah jumapili jioni
Kwakweli hachoshi na kila siku ana new content😄😄😄😄
Ki ukweli haboi,halafu akihisi hapa utamu wa stori haunogi anaongeza chumvi na manjonjo ya ule mdomo mi hoii ila zai!😅😅😅😅
 
Eti ananukia machenza,jamaniii
Kaniacha hoi amwanavyoenda huko tegetaaa na bunju halafu wanakula kama wapo kwao khaaaa[emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Anakwambia sehemu mbaya akienda ile kufika tu akasisimka hadi vipele... Cha kwanza anaulizia kwanza kwa Mjumbe kabla ya kuingia ndani..
 
Zai wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amuweke kabisa...

Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza[emoji1787]
Iko wapi hiyo clip sasa mkuu???
 
Back
Top Bottom