Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya kipindi hicho na sasa ni rang tu, ila kiuhalisia Tanzanian tupo chini ya ukoloni kutoka mweupe hadi sasa weusi. So tz kama Tanzania tunahitaji kujitafuta ili tufanikiwe kuanza kupiga hatua kama nchi. Nje ya hivyo, tutaendelea kujitoa kwenye ramani ya dunia, maana final end products zetu ni gradually zipo chini, na cha kusikitisha, our end products are still lagging at amateur state comparing to other regional competitive end prdsmwaka 90 hawakuzidi 5 %
Mwaka 2000 hawakuzidi 10%
Mwaka 2010 hawakuzidi 15 %
2020 hadi sasa hawazudi 20 %
umegundua nini ?
Sawa ndgTofauti ya kipindi hicho na sasa ni rang tu, ila kiuhalisia Tanzanian tupo chini ya ukoloni kutoka mweupe hadi sasa weusi. So tz kama Tanzania tunahitaji kujitafuta ili tufanikiwe kuanza kupiga hatua kama nchi. Nje ya hivyo, tutaendelea kujitoa kwenye ramani ya dunia, maana final end products zetu ni gradually zipo chini, na cha kusikitisha, our end products are still lagging at amateur state comparing to other regional competitive end prds