Tofauti ya kipindi hicho na sasa ni rang tu, ila kiuhalisia Tanzanian tupo chini ya ukoloni kutoka mweupe hadi sasa weusi. So tz kama Tanzania tunahitaji kujitafuta ili tufanikiwe kuanza kupiga hatua kama nchi. Nje ya hivyo, tutaendelea kujitoa kwenye ramani ya dunia, maana final end products zetu ni gradually zipo chini, na cha kusikitisha, our end products are still lagging at amateur state comparing to other regional competitive end prds