Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo


Tungekuwa hatujui lolote ungeweza kutuleta. Tumekuwa tukiona miradi kibao ikisainiwa na bado haikutekelezwa. Kwenye hiyo mikataba ya siri unaweza kujua nini kipo ndani? Labda ungesema mikataba imesainiwa leo na ujenzi wake unaanza rasmi tarehe fulani. Lakini unaweza kushangaa miradi imesainiwa leo ili kusaka kiki za kisiasa, na utekelezaji wake ukafanyika wakati wa awamu ijayo, na bado isifanyike kwa jinsi ilivyosainiwa sasa.
 
Mkiona kama miradi gani ,nitajie..

Mimi nimeona tofauti ya Marais 4
 
Kikwete alijenga nchi nzima na jina lake halijaandikwa kwa wino wowote sembuse huyo muuza nchi? Samia kazi yake ni kusaini mikataba tu, hasomi, hawamsomei, yeye anatia mkono tu.

Samia uwezo wake ni wa kua balozi wa nyumba 10 tu lakini ajabu eti ni rais wa nchi, hivi ni vichekesho.
 
Hakika mama yetu anaupiga mwingi

 

Usitupigie kelele
 
Alijenga Nchi nzima km ngapi? Ingekuwa kajenga Nchi nzima hizi zinaenda kujengwa za nini Sasa si alijenga Nchi nzima?

Mwisho alijenga km ngapi na Kwa mda gani vs Samia ambae Kwa awamu hii tuu ya kwanza amefanya mambo mengi hakuna Rais ana weza kumfikia na ni Kwa sekta zote.kuanzia Kilimo Hadi Maji.
 
Mkiona kama miradi gani ,nitajie..

Mimi nimeona tofauti ya Marais 4
Mfano mrahisi ni huu mradi wa bomba la gas. Mkataba wake tuliambiwa utazalisha umeme wa 5,000mw kufika 2020. Na kutokana na kuwa na huo umeme mwingi tutauza nje, huku mgao wa umeme ukiwa ni historia. Huu ni mfano mmoja kati ya mingi ya kitapeli.
 
Mfano mrahisi ni huu mradi wa bomba la gas. Mkataba wake tuliambiwa utazalisha umeme wa 5,000mw kufika 2020. Na kutokana na kuwa na huo umeme mwingi tutauza nje, huku mgao wa umeme ukiwa ni historia. Huu ni mfano mmoja kati ya mingi ya kitapeli.
Unazungumzia Marais ma failures? Hapa tunazungumzia Samia.Hata hivyo Samia ana ukwamua na huo pia.
 
Kwani hizo zinazoenda kujengwa ndio zitakua zimemaliza barabara za nchi hii kwamba baada ya samia hakutakua na barabara nyingine itajengwa?

Mambo mengi aliyoyafanya ni yapi? Kwangu jambo kubwa nimeona ni la kusaini mikataba bila kusoma ndio maana Ndugai alisema hii nchi itapigwa mnada tu.
 
Competition ya Machawa inazidi kuwa kubwa ongeza juhudi kidogo mwanangu naona kama vile umekaribia kutoboa
 
Zitamaliza Barabara zote kuu za kuunganisha Mkoa na Mkoa,Nchi na Nchi ambazo wengine wote walishindwa..

Kuna Mikoa 13 inaenda kuunganishwa at par na Kwa taarifa Yako hizi ni za EPC ila Kuna za ppp zinakuja na za kawaida zipo zinaendelea na ujenzi.
 
Wewe kajinga kweli,alijenga Nchi nzima km ngapi Kwa mda gani?
Soma haya maelekezo hapa utoe ujinga kichwani
Mpuuzi wewe umevimbiwa maharage unatoa mashuzi tu hapa barabara zilishajengwa hizo unazo pigia debe wewe ni marudio kwani watu wanapita kwenye vumbi hivi sasa!
 
Yule mwingine alikuwa ni mjinga mmja tuu,ujue Kila siku nawaambia Wajamaa ni watu wapumbavu sana Mkiwa entertain mtaishia kuwa maskini milele.
Pumbavu

Kelele nyiiingi! Wakati huo huo mnatucheleweshea JKNHP yetu na SGR

Kama huo ni upumbavu, na hicho mnachotuambia hapa ni upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…