kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Kweli ni mwalimu mzuri, moja ya somo lililoeleweka sana na application yake inaonekana ni "Kula kwa urefu wa kamba yako."Upuuzi,anawafundisha maana ya Uongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ni mwalimu mzuri, moja ya somo lililoeleweka sana na application yake inaonekana ni "Kula kwa urefu wa kamba yako."Upuuzi,anawafundisha maana ya Uongozi
Ahadi hewa watu wamesaini mikataba 😆😆 we Jamaa Bure kabisa..
Kwanza tangu lini Samia amewahi kukupa ahadi hewa? Kwanza sio Barabara tuu Bali Hadi kwenye Afya amefanya mapinduzi, kwenye Elimu ndio kabisa Watoto wooote wanapata mkopo na Sasa kawaongeza wa diploma,Ajira ndio usiseme..
Samia ni kichwa kingine,anataka awasaidie huko kwenye bandari Wajamaa mbakaza Kwa kung'ang'ania umaskini na ujinga 😁😁😁
Mkiona kama miradi gani ,nitajie..Tungekuwa hatujui lolote ungeweza kutuleta. Tumekuwa tukiona miradi kibao ikisainiwa na bado haikutekelezwa. Kwenye hiyo mikataba ya siri unaweza kujua nini kipo ndani? Labda ungesema mikataba imesainiwa leo na ujenzi wake unaanza rasmi tarehe fulani. Lakini unaweza kushangaa miradi imesainiwa leo ili kusaka kiki za kisiasa, na utekelezaji wake ukafanyika wakati wa awamu ijayo, na bado isifanyike kwa jinsi ilivyosainiwa sasa.
Serikali ya Rais Samia imeandika Historia Nyingine ya ubunifu Kwa kusaini Kuanza Ujenzi wa Barabara za Kuu za Lami kwenye Mikoa 13 Kwa pamoja Zenye jumla ya urefu wa km 2035 Kwa mtindo wa EPC +F Kwa gharama ya sh.Tilioni 3.7.
Engineering, Procurement, Construction and Finance (EPC+F).
Akizungumza wakati wa kushuhudia Kutiwa Saini Kwa mikataba hiyo Jijini Dodoma , Waziri wa Ujenzi Prof.Mbarawa amesema kwamba Barabara hizo hazitokuwa za kulipia tozo kama wapotoshaji wanavyosema.Ikumbukwe hii haijawahi tokea Toka Uhuru,walinda ligacy mnafundishwa kazi.
My Take
Samia anawaonesha kwamba Private Sector inalipa kuliko Ujamaa mbuzi ambao Baadhi ya watu wasiojielewa Wanakumbatia..
Ndio maana hata kwenye Bandari anataka awafundishe namna ya kutumia rasilimali Kwa manufaa ya watu badala ya kuhubiti propaganda za Uzalendo mbuzi na umaskini over years..
Hongera sana Mh.Rais Historia itaandika jina lako Kwa Wino Mwekundu..
Alijenga Nchi nzima km ngapi? Ingekuwa kajenga Nchi nzima hizi zinaenda kujengwa za nini Sasa si alijenga Nchi nzima?Kikwete alijenga nchi nzima na jina lake halijaandikwa kwa wino wowote sembuse huyo muuza nchi? Samia kazi yake ni kusaini mikataba tu, hasomi, hawamsomei, yeye anatia mkono tu.
Samia uwezo wake ni wa kua balozi wa nyumba 10 tu lakini ajabu eti ni rais wa nchi, hivi ni vichekesho.
Mfano mrahisi ni huu mradi wa bomba la gas. Mkataba wake tuliambiwa utazalisha umeme wa 5,000mw kufika 2020. Na kutokana na kuwa na huo umeme mwingi tutauza nje, huku mgao wa umeme ukiwa ni historia. Huu ni mfano mmoja kati ya mingi ya kitapeli.Mkiona kama miradi gani ,nitajie..
Mimi nimeona tofauti ya Marais 4
Wivu 😁😁😁Usitupigie kelele
Unazungumzia Marais ma failures? Hapa tunazungumzia Samia.Hata hivyo Samia ana ukwamua na huo pia.Mfano mrahisi ni huu mradi wa bomba la gas. Mkataba wake tuliambiwa utazalisha umeme wa 5,000mw kufika 2020. Na kutokana na kuwa na huo umeme mwingi tutauza nje, huku mgao wa umeme ukiwa ni historia. Huu ni mfano mmoja kati ya mingi ya kitapeli.
Kwani hizo zinazoenda kujengwa ndio zitakua zimemaliza barabara za nchi hii kwamba baada ya samia hakutakua na barabara nyingine itajengwa?Alijenga Nchi nzima km ngapi? Ingekuwa kajenga Nchi nzima hizi zinaenda kujengwa za nini Sasa si alijenga Nchi nzima?
Mwisho alijenga km ngapi na Kwa mda gani vs Samia ambae Kwa awamu hii tuu ya kwanza amefanya mambo mengi hakuna Rais ana weza kumfikia na ni Kwa sekta zote.kuanzia Kilimo Hadi Maji.
Miundombinu ndo ilimbeba mtangulizi wake hivyo na yeye hana budi kuweka hisitoria kwa kumzidi ili imuinue na kumtangaza.Huyu ndio ana haki ya kusema TUMECHELEWA SANA
Zitamaliza Barabara zote kuu za kuunganisha Mkoa na Mkoa,Nchi na Nchi ambazo wengine wote walishindwa..Kwani hizo zinazoenda kujengwa ndio zitakua zimemaliza barabara za nchi hii kwamba baada ya samia hakutakua na barabara nyingine itajengwa?
Mambo mengi aliyoyafanya ni yapi? Kwangu jambo kubwa nimeona ni la kusaini mikataba bila kusoma ndio maana Ndugai alisema hii nchi itapigwa mnada tu.
Wivu 😁😁😁
Mpuuzi wewe umevimbiwa maharage unatoa mashuzi tu hapa barabara zilishajengwa hizo unazo pigia debe wewe ni marudio kwani watu wanapita kwenye vumbi hivi sasa!Wewe kajinga kweli,alijenga Nchi nzima km ngapi Kwa mda gani?
Soma haya maelekezo hapa utoe ujinga kichwani
PumbavuYule mwingine alikuwa ni mjinga mmja tuu,ujue Kila siku nawaambia Wajamaa ni watu wapumbavu sana Mkiwa entertain mtaishia kuwa maskini milele.
CCM inakwenda kuanguka kama katibu mwenezi taifa ni huyu!Nilivyoona kichwa cha habari, nikajua ni brother Lucas, kumbe kuna ndugu zake. Nilikuwa napita tu