Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Imevuta bangi ya wapi Mzee? 😁😁
 
Chawa tulia, au uweke udhibitisho wa mimi kumsifia Mbowe na Lisu. Au kwakuwa ww ni muumini wa kusifia watu, basi unajua kila mtu ni chawa wa sampuli yako.

Narudia tena kukuuliza chawa, taja ni lini huo ujenzi wa hizo barabara ume/utaanza na kukamilika. Au taja mradi wowote angalau wa 1t ambao ameshaukamlisha toka ameingia madarakani. Ukifanikiwa kutaja uchawa wako utaisha rasmi.
 
Mara nyingi Huwa nasema chadomo Ina watu wajinga na wapuuzi sana,sijui hivyo vichwa chenu kazi yake hasa ni ipi..

Hadi Leo hii hujui utaratibu wa Mikataba TanRoads? Basi nakusaidia ujenzi utaanza rasmi baada ya miezi 4,ndani ya miezi 4 hiyo Wakandarasi watakuwa wanafanya mobilisation na kujenga Kambi..

Nenda Mbeya saizi ujenzi ukishaanza Kwa mkandarasi aliyesaini Mkataba mwezi wa 2..

Nyie machawa wa Mbowe na Lisu ni majinga , Mwenyekiti wenu wa kudumu 😁😁😁🤪🤪🤪
 
Ogopa matapeli.
 
Ni mtandao mzuri sana huo ukikamilika itakuwa safi.👌
 
Umeona eeee na ma nickel yote
Hujui kitu wewe,kwanza nani kakwambia Barabara zote zinajengwa Kwa staili ya EPC? Kanda ya Ziwa Kuna miradi zaidi ya 5 ,mitatu ikiwa Kagera.

Awamu ya 6 sio sawa na awamu ya yule mkabila wenu
 
Kuna Rais alijenga km 17000 za lami Jk na hakukuwa na ukuda kama mnaouleta
Unazijua km 17,000 au unaropoka tuu? Ingekuwa hivyo basi Mtandao mzima wa Barabara za TanRoads zingekuwa zimemalizika Nchi nzima na Barabara za kuunganisha Mkoa na Mkoa zote Tanzania zingekuwa na lami..

Kwa Taarifa Yako Barabara Zenye Lami Tanzania Nzima ni chini ya km 10,000 tuu ,hiyo 17,000km ndio ya Kenya .

Kama hujui takwimu usiwe mwongo na mropokaji unajiaibiasha.👇
 

Ndugu bora umeeleza ukweli kwani kilichosainiwa kimekuwepo toka miaka ya 2000, mfano Ni Hilo daraja la mto Sibiti mpaka Leo halijaisha itakuwa barabara? Kuna barabara ya kulipia Ubungo - Chalinze - Morogoro imeongelewa sana na mpaka survey ilishafanyiwa lakini haijaanza kujengwa feza hakuna kilichobaki Ni kick za uchaguzi 2025
 
Usifananishe Samia na hao ma failures wengine waliowaahidi,Sasa baada ya kusainiwa mkataba daraja na Barabara vitajengwa rasmi..

Hiyo Barabara ya Morogoro Bado inafanyiwa usanifu wa kina kuanzia Kikara -Chalinza-Morogoro Hadi Dodoma na itakuwa na njia 6 sio 4 huku njia 2 zikiwa za kulipia yaani express way Kwa wenye haraka zao na itajengwa Kwa staili ya PPP,mwakani ujenzi utaanza rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…