Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

Ndo tatizo la watu walioachika, muache masanja wa watu afurahie maisha. Kobe mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera mrithi wa mikoba ya Sheikh Yahya.
Umetabiri vyema...
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Pole dada ndo ushakosa muombe mungu utapata mwingne eee kama nakuona ulivytam ungekuw ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzia wapi kutamani?Wanaotamani ni wakosaji...
Nami sio mmoja kati yao.
 
Ili lijamaa baada ya kufunua vikojoleo vya watoto wa watu sasa ndo kanasa hako kalokole? Mweh!!! Nnawaombea azae vya kike tu naye wambamizie kidogo
 
sio mbaya asipomsifia mc atamsifia zaid ''mwanawanawe'' mbna ni kawaida maharusi kusifiwa kwenye hafla na bora ameoa ambaye hammujui ndo mngemchapa madongo zaid gogo masanja mwanawane kakandamize usiku kucha kwenye mc usimsahau mwarabu wa dubay
 
Msichana wa kisukuma MWEUPE? Masanja aliumia sana kwenye mahari maana msichana wa kisukuma akiwa mweupe mahari yake ni juu sana.
 
Hongera kaka kwa maamuzi bora Mungu awe upande wenu
 
Mimi nimemuona Mr.Mbasha kwa mbaaali au nimemfananisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…