Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Kadeki bahari sasaAt your own risk [emoji108]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadeki bahari sasaAt your own risk [emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera mrithi wa mikoba ya Sheikh Yahya.Ndo tatizo la watu walioachika, muache masanja wa watu afurahie maisha. Kobe mzee
Dah,!Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole dada ndo ushakosa muombe mungu utapata mwingne eee kama nakuona ulivytam ungekuw ww
Dahhhh kweli Mademu wazuri hawaolewagi !!
kwa maana hiyo hivi huyu dem we ni mbovuDahhhh kweli Mademu wazuri hawaolewagi !!
Kilimo??Kumbe si kilimo peke yake?
Picha si hio hapo?kwa maana hiyo hivi huyu dem we ni mbovu
ya ngono?Weka picha
serious,umepata wivu kiasi hiki?una ukaribu na hawa/huyu watu/mtuMisifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
wagongesha vichwa umri ukisha enda...wazee tumestukaDahhhh kweli Mademu wazuri hawaolewagi !!
nifa we ndio yule ulie kuwa ukisali naye kanisa moja...nafull matarajio...kuna uzi nilipita pita nikakuta na hii habari...sasa vile naona unareact kama picha inanijia as you are the one?At your own risk [emoji108]
Picha si hio hapo?
Hongera kaka kwa maamuzi bora Mungu awe upande wenuView attachment 365277 View attachment 365273 View attachment 365271
Katika kuwahabarisha watu wake na mashabiki wake,Masanja Mkandamizaji ameandika hivi katika mtandao wake
MBWEMBWE ZOOOOOOTE ZIMEISHIA KWA BINTI HUYU WA KISUKUMA HAKIKA KAWAZIDI WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTEEEEEEEEE
JAMANI KAMA ULIWAHIGI NIPENDA AU NILIWAHIGI KUKUPENDA BASI TUENDELEE KUOMBEANA MAANA HAPA NDO BREAK YA MBELE.
NAMPENDA MPAKA NASIKIA KIZUNGUZUNGU.
NAONA TAR 14 HAIFIKI
NATAMANI UKUMBINI MKAE SITI YA MBELE ILI USHUHUDIE MA STEP
ZAIDI YA MA MC 10 NIKIWEPO MIMI TUTAONGOZAAAAAAAAAAAAAAA TUKIO.
JAMANI KUSEMA UKWELI HAKA KA BINTI NAKAPENDA MWEEEEEH
KAMA HAUJAJISIKIA VIBAYA TUTAKIE KILA LA KHERI NA USIPOTUTAKIA MUNGU ATAFANYAAA
Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.