MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu.
Najiuliza mbona hawa wahusika mawazo yao yame-stuck, hawajui nini walitumie?
Wanashindwa hata kuligeuza hostel ya UDSM?
Tena wapangieni wanaotoka vijijini hapo wajihisi wapo peponi waongeze bidii kusoma.