HDMI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 672
- 1,332
Na linavozidi kukaa tupu linawapiga sana gharama za matunzoMtazamo.. Demand vs Supply !!
Bei ya soko muda huu ni very LOW !!
Lakini vitabu bei yake unchangeable!!
Hope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na linavozidi kukaa tupu linawapiga sana gharama za matunzoMtazamo.. Demand vs Supply !!
Bei ya soko muda huu ni very LOW !!
Lakini vitabu bei yake unchangeable!!
Hope
Hahaha... usikate tamaa, Zamu za under 40 zitakuja tu..Visionless board of directors ndio wanatupeleka huku.
Majengo ya serikali Dar ni magofu, business zinafungwa.
Ni wakati muafaka sasa board of directors ziundwe na ppl below fourty.
These old guys will lead us to the grave ambako ndiko wenyewe wanakoelekea
Alafu tukimuambia anabwekaZa kuambiwa changanya na zako! Hilo jengo halina hata mwaka tokea likamilike, rudi kwa aliyekupa taarifa kakuingiza chaka.
Kawaulize wamiliki.Kwa hiyo lina wateja wangapi baada ya kukamilika?
Halijatimiza miaka mitatuHili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu.
Najiuliza mbona hawa wahusika mawazo yao yame-stuck, hawajui nini walitumie?
Wanashindwa hata kuligeuza hostel ya UDSM?
Tena wapangieni wanaotoka vijijini hapo wajihisi wapo peponi waongeze bidii kusoma.
Hili ni jengo la PPF lengo ilikuwa ni kuhamishia makao makuu hapo kutoka posta kabla hawajahamia ikaingia issue ya Dodoma.Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu.
Najiuliza mbona hawa wahusika mawazo yao yame-stuck, hawajui nini walitumie?
Wanashindwa hata kuligeuza hostel ya UDSM?
Tena wapangieni wanaotoka vijijini hapo wajihisi wapo peponi waongeze bidii kusoma.
Limetimiza mingapi?Halijatimiza miaka mitatu
Limetimiza mingap? Unabisha bil kuweka jibu sahihi. Acha uzwazwaHalijatimiza miaka mitatu
Wangeipangisha hata UDSM ili watumie kama madarasa na maofisi au hata hostel za wanafunzi maana pale ni karibu sana na UDSMHili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu.
Najiuliza mbona hawa wahusika mawazo yao yame-stuck, hawajui nini walitumie?
Wanashindwa hata kuligeuza hostel ya UDSM?
Tena wapangieni wanaotoka vijijini hapo wajihisi wapo peponi waongeze bidii kusoma.
Ukipigia hesabu tangia kuanzwa kujengwa linazidi miaka mitatu ila tangia likamilike halizidi mwaka na bado kuna finishing inaendelea wing ya chiniLimetimiza mingap? Unabisha bil kuweka jibu sahihi. Acha uzwazwa
Wapangishe kwa bei za hasara kisha mataengenezo na huduma zakawaida za kuhudunia jengo watumie hizo hizo hela za hasara? huoni hapo kua kutakua na hasara mbili badala ya hasara moja iliyopo sasa hivi?Kwanini wasipangishe hata kwa bei za hasara? Mi naamini pia hayapati wateja kwa sababu wana charge pesa nyingi sana
Ten percentVisionless board of directors ndio wanatupeleka huku.
Majengo ya serikali Dar ni magofu, business zinafungwa.
Ni wakati muafaka sasa board of directors ziundwe na ppl below fourty.
These old guys will lead us to the grave ambako ndiko wenyewe wanakoelekea
Nadhani lina zaidi ya mwaka tokea likamilike, mwaka jana Novemba nilienda kukata bima ya afya NHIF japokuwa ndio walikuwa wamehamia hata hawajapanga ofisi vizuri.Ilo jengo ndio wanatafuta tenants sahv,limekamilika Hakuna hata zaidi ya miezi 6 wewe unasema umeliona tangu likijengwa blablah nyingi hivi waswahili hua Ni kazi mnakosa Au kitu gani
Kwa matumizi ya ofisi wanapangisha Kwa Square Metres na bei nadhani inawakimbiza wateja.Kwanini wasipangishe hata kwa bei za hasara? Mi naamini pia hayapati wateja kwa sababu wana charge pesa nyingi sana
In being gani kwa square meter? Kwenye hizo apartments za juu?Kwa matumizi ya ofisi wanapangisha Kwa Square Metres na bei nadhani inawakimbiza wateja.
Kwenye jengo la PSPF wao kuna kipindi walikuwa wanatangaza floor za juu kuna appartment. Siku hizi jioni au asubuhi kwenye ghorofa kama ya 18 au 20 unaona kuna mtu kaanika nguo au taa zinawaka inawezekana kuna raia wameamua waishi juu ya jiji la Mzizima.
Sijajua labda jaribu kucheki mtandaoni.In being gani kwa square meter? Kwenye hizo apartments za juu?