Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

Kama unataka nenda kwa Broker maaruf wamajengo makubwa Tanzania anaitwa KNIGHT FRANK lkn bei utakazo kuta usikimbie kaka ni hatari ...wanacharge hadi service charge kwa per sq meter
 
Wakati wanajenga hayo majengo, hali inakuwa vipi kwenye kulipa mafao ya wastaafu na walioacha au kuachishwa kazi, tuanzie hapo kwanza.
 
In being gani kwa square meter? Kwenye hizo apartments za juu?

Katika majengo mengi ya aina hio, bei zao hua ni kati ya $700-900 kwa 2bedroom, na bado hawajakulipisha service charge. Unakuta ni ghali kwa biashara ya siku hizi. Hata maofisi wengi wanataka $13 hadi 15 per sqm + service charge, ndio maana watu wanaona bora wabaki kwenye majengo ya zamani kuliko haya mapya ambayo ni ghali sana.
 
Mwaka 2014 nilienda machinga complex kupeleka komputa mbovu kwa mafundi, jengo lilikuwa halina wapangaji flat za juu wamejaa wahuni tu yaani unaweza ukapigwa hats ngeta"", sijui hali ikoje pale kwa sasa.
 
Back
Top Bottom