Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

Hii BBC ni ya kupigwa marufuku hapa nchini kwani wanadharau sana inamaana watanzania hawana akili za kutofautisha faida na hasara kwa miradi ya maendeleo hapa nchini? wao ndio wana akili sana eeeh. Watukome kabisa watuachie maisha yetu .

Ww ndio wale mnaoambiwa uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kupita kiasi una madhara. Mnaishia kutukana na kusema mnatumia hela zenu kwani nyie ni watu wazima na mnajitambua hivyo msipangiwe namna ya kutumia hela zenu.
 
1/ Tafadhali weka hapa EIA ya huo mradi.

2/ Huhitaji "ujinga wa magharibi" kufikiri and nobody does. Kama mradi una athari kwa mazingira, itabaki kuwa hivyo hata kama watu wote watakaa kimya. Na kusema kwamba mradi unaharibu mazingira na maisha ya watu (think about what will happen downstream), si kukataa "kinachofanywa nchini chenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania". Actually, unaboreshaje maisha ya Watanzania kwa kupuuza athari hasi za mradi? Unafikiri kati ya anaye-pretend kuwa mradi hauna athari hasi wakati una athari hasi na anayesema mradi una athari hasi wakati una athari hasi, ni nani anayeboresha maisha ya Watanzania?

3/ Huu si mradi wa kwanza (dam) kutekelezwa duniani. Mengi yameandikwa kuhusu damming. Miongoni mwa mambo yaliyopata kuleta fedheha kubwa kwa taasisi kama World Bank ni damming na huwezi kuwakuta wakitoa mkopo tena kwa miradi ya namna hiyo, japo wanaimezea mate kwa kuwa biashara yao ni kuuza mikopo. Soma. Read a bit ili uboreshe hoja zako. Si lazima kwamba ukisoma kidogo what is known about damming, basi utapinga mradi wa Stiegler's Gorge. La hasha, utaboresha hoja zako na kuondoa hisia kwamba uko "programmed". Kwa kuanzia, tafuta andiko la Angazi and Ndulu from the 1970s kuhusu athari za huu mradi downstream (these are agricutural economists). Pia tafuta kitabu cha Kjell Havnevik on the same case. Then, continue debating.
Samahani sana Sina muda mchafu wa kufanya midahalo ya kishule hapa. Baada ya kumsikiliza mtaalamu wa EIA prof Mwalyosi juu ya mradi huu siwezi kusikia wasomi uchwari vibaraka wa wazungu wauza mafuta mazito kuendesha mitambo ya symbion nk.
Vyura wa kihansi walivyopata athari. Mazjngira yao yameboreshwa. Tulipeleka vyura mia tano wamerudi 10,000. Hii ni kuonesha kuwa hizo athari kidogo zinaweza kurekebishwa. Miti milioni mbili kitu gani kwa maendeleo ya viwanda. Mwaka Jana tu wizara ya mazjngira imepanda zaidi ya miti milioni mbili.
 
Tathimini ya mradi huu ambao hata wabunge waliomba iliwahi kutolewa kwa umma?

Bahati mbaya sana Tanzania ya leo kuona mbali ni negativity na kuona karibu ni positivity.

Wacha tusubiri ya huko mbeleni.

Total area ya game reserve ni kiasi gani???
 
Nani anajenga huu mradi? I mean contractor ni nani? Kama watz je, wana capacity (technical know how); Mimi sina imani kama utafanikiwa. Je, unafahamu yanayoendelea kwenye mradi wa barabara za ju Ubungo??
Kila mradi unayo mazjngira yake usikariri. Zabuni imetangazwa kimataifa. Akishinda mtanzania sawa akishinda Mchana mmarekani muhindi muethiopia sawa bora Umeme mgt 2100 zipatikane
 
Unasahau kwamba kuna wizara maalum kabisa kwa ajili ya masuala ya maliasili, inafanya kazi ya upandaji wa miti na urudishaji wa mazingira sahihi katika maeneo nyeti kwa nchi hii.
 
watu kama wewe sometimes mnasikitisha......kwa sababu mnaangalia mambo kwa negativity tuu.... wakati wa kujenga mwendo kasi wapo waliohoji kuhusu kuweka ule mradi pale jangwani kwa sababu ni sehemu inayofahamika kwa miaka mingi kwamba ina experience mafuriko kwa sababu ya mto msimbazi. Lakini baadhi ya waliohoji waliimbiwa wanapinga maendeleo na wengi kuitwa CHADEMA! Hata tukaonyeshwa certificates za EIA. Haya leo tuko wapi? mvua ikinyesha usafiri wa DART unakuwa takataka! mabasi hayaendi Lakini yote haya ni maamuzi yasiyoangalia mipango na maslahi ya wengi baadaye.... ile ni hasara ya kitaifa. Si ya CCM wala CHADEMA wala CUF! Wote inatuumiza kama waTanzania. Sasa wapo leo wanaohoji huo mradi wa umeme kwenye hilo bonde la Stigler's Gorge. Hakuna anayefanya hivyo kwa sababu ana chuki au hapendi umeme! No, wengi wanauliza kwa sababu tunatamani maendeleo yetu leo yaende sambamba na utunzaji wa raslimali zetu kwa ajili ya Tanzania ya miaka ya baadaye. Unfortunately wapo kama wewe mleta mada unadhani unaipenda Tanzania kuliko wengine. Tanzania is our home. Jua liwake, mvua inyeshe....wote tuko hapa. Kwenye mambo ya kitaifa tuwe na mijadala mipana kwa sababu after all tunajenga nchi moja na hakuna mwenye monopoly ya akili au uelewa kama CCM mnavyotuaminisha.
Changamoto haikimbiwi inatatuliwa. Kisa umebaini kutakuwa na changamoto ndio aache. Basi kusingekuwa na dawa hata moja za Binadamu. Maana pale walipopata matokeo ya vifo kwa baadhi ya watu wangeacha kutengeneza. Kuna dawa yaweza kukutibu wewe mimi ikaniuwa
Barabara ya pale jangwani mpaka magomeni haikuwahi kufurika kwa miaka yote lakini sasa hivi inafurika. Yapo mengi ya kutafiti kuhusu hili. Lifanyike mradi ukiwa unafanya kazi.
 
Usiwe mjinga wakati tuliambiwa umeme wa gas utakuwa muarubaini wa nishati hapa nchini, tena tutauza mpaka nje. Sasa leo kuambiwa tunaenda kwenye wa maji watu wasihoji? Mnakuwa waongo kwa ajili ya maslahi yenu kisha mkibanwa mnaanza kuleta maelezo ya kizembe
Tuliotoa ridhaa tunajua nini kilichoahidiwa. Gasi ilikuwa njia ya haraka kuondoa mgao wa Umeme. Mpaka sasa uwekezaji unaendelea.
Wewe unakereka nini Umeme wa maji ukipatikana kwa bei ya chini
 
Kila mradi unayo mazjngira yake usikariri. Ulivyo mjinga usifananishe na Watanzania wengine. Zabuni imetangazwa kimataifa. Akishinda mtanzania sawa akishinda Mchana mmarekani muhindi muethiopia sawa bora Umeme mgt 2100 zipatikane

Kwanza mimi siyo mjinga. Pili, hakuna kampuni ya kimataifa itakubali kufanya hiyo kazi katika eneo husika. Tayari kuna mgogoro wa kimazingira? Tambua kuwa natamani sana kupata huo umeme, lakn kwa namna tunavyosimamia inaleta shaka sana kama utatoboa.

Muda ni kipimo kizuri sana.
 
Environmental Impacts of the Proposed Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania | Environmental Conservation | Cambridge Core

Environmental Impacts of the Proposed Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania

Extract
Establishment of a planned reservoir at Stiegler's Gorge on the Rufiji River would enable a large amount of highlyvalued energy to be produced. This would represent an important national asset. But although such a large net amount of energy would be realized on a short- to mediumterm basis, its production would be negatively influenced by a variety of reservoir operation options that would be related mainly to irrigated agriculture, fisheries, and water quality, which form trade-offs with hydropower generation.

The most significant effect of the dam would be drastic reduction, by controlled discharge, in the frequency of severe floods in the lower Rufiji valley. Floods in excess of 2,500 cubic metres of discharge per second could be reduced in number from some 14 to 3 in 24 years, or from 167 to 13 during 300 years. The most devastating floods would also be reduced—from once in about 8 years to once in maybe 40 years.

The STIGO Project impact area contains a major wildlife resource in terms of size, density, and diversity. Its accessibility to Dar es Salaam gives it a great potential for tourism development. As an access road to the dam-site would be a necessary prerequisite to implementation of the STIGO Project, it would indirectly help to open up the Selous Game Reserve to tourism, which is currently being hampered by poor communications. Also, a substantial amount of the forest resources identified along this road could be exploited.

No complete populations of animal wildlife would be in danger from direct ecological consequences of river impoundment and dam construction. However, significant proportions of the populations in the STIGO Project impact area of three species (Giraffe, Wildebeest, and Zebra) would be potentially at risk, owing to their need for habitats of restricted range. On the other hand some species, including Crocodile and Hippopotamus, would increase in numbers following creation of the reservoir and improvement of their habitat downstream of the dam (due to swamp drainage).

Not withstanding that the ecological impacts of dam construction are relatively minor, the socio-economic impacts on wildlife and conservation values are potentially great—resulting, for instance, from facilitated access to the heart of the Selous Game Reserve and concomitantly increased conflict between wild animals and Man. These circumstances would reduce wilderness values and disturb animal wildlife, so that, especially, commercially valuable species may be expected to decline unless strict regulations are made and enforced.*

River impoundment would have very negative impacts on floodplain fisheries and agriculture, the latter of which would probably be changed to irrigated agriculture with artificial fertilization, while floodplain fisheries would totally collapse. Some mangrove stands in the Delta would probably be displaced by reeds. Delta fisheries would be very negatively affected, because of changes in the water regime as well as in salinity levels.

Water quality in the planned reservoir and in the downstream area would be negatively affected by the project. The water would often be unfit for human and animal consumption and use, as well as unfavourable for fisheries. The project would also have negative effects on the health of the riparian population, owing to increased potentials for disease vectors.

Overall, a high degree of uncertainty is involved in the project. The effect of the primary project (hydropower) would be negative owing to its drastic consequences for the immediate and more distant impact areas. Its image might improve and probably become positive if development in the Basin were carefully controlled and managed. This would require reliable prediction of the impacts and a thorough analysis of the remedial and/or additional measures to arrive at an integrated development strategy for the Basin. Although several measures are planned to eliminate and/or minimize the negative impacts, their implementation may be difficult in view of the bad economic situation of the country.
 
Tatizo ni kwamba; Maadam wapinzani ndio mnaupinga, hata ingeonekana kuwa hautafikia katikati, tutausukuma tu hadi tutakapo shindwa kuliko kuuacha. Wapo watu walio tiyari mle nyasi lakini mradi u take off. Tuwakomoe wapinzani wasio na uzalendo wa kusema ndiyoooo.
 
Hii ni hatari sana!!
 
Samahani sana Sina muda mchafu wa kufanya midahalo ya kishule hapa. Baada ya kumsikiliza mtaalamu wa EIA prof Mwalyosi juu ya mradi huu siwezi kusikia wasomi uchwari vibaraka wa wazungu wauza mafuta mazito kuendesha mitambo ya symbion nk.
Vyura wa kihansi walivyopata athari. Mazjngira yao yameboreshwa. Tulipeleka vyura mia tano wamerudi 10,000. Hii ni kuonesha kuwa hizo athari kidogo zinaweza kurekebishwa. Miti milioni mbili kitu gani kwa maendeleo ya viwanda. Mwaka Jana tu wizara ya mazjngira imepanda zaidi ya miti milioni mbili.

Mwalyosi alikuambia ripoti ya EIA inapatikana wapi? Alizungumza na wewe "kishule"? Na alikuambia "athari kidogo" za mradi wa STIGO ni zipi? Na "zitarekebishwaje"?

Environmental Impacts of the Proposed Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania | Environmental Conservation | Cambridge Core
 
1/ Tafadhali weka hapa EIA ya huo mradi.

2/ Huhitaji "ujinga wa magharibi" kufikiri and nobody does. Kama mradi una athari kwa mazingira, itabaki kuwa hivyo hata kama watu wote watakaa kimya. Na kusema kwamba mradi unaharibu mazingira na maisha ya watu (think about what will happen downstream), si kukataa "kinachofanywa nchini chenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania". Actually, unaboreshaje maisha ya Watanzania kwa kupuuza athari hasi za mradi? Unafikiri kati ya anaye-pretend kuwa mradi hauna athari hasi wakati una athari hasi na anayesema mradi una athari hasi wakati una athari hasi, ni nani anayeboresha maisha ya Watanzania?

3/ Huu si mradi wa kwanza (dam) kutekelezwa duniani. Mengi yameandikwa kuhusu damming. Miongoni mwa mambo yaliyopata kuleta fedheha kubwa kwa taasisi kama World Bank ni damming na huwezi kuwakuta wakitoa mkopo tena kwa miradi ya namna hiyo, japo wanaimezea mate kwa kuwa biashara yao ni kuuza mikopo. Soma. Read a bit ili uboreshe hoja zako. Si lazima kwamba ukisoma kidogo what is known about damming, basi utapinga mradi wa Stiegler's Gorge. La hasha, utaboresha hoja zako na kuondoa hisia kwamba uko "programmed". Kwa kuanzia, tafuta andiko la Angazi and Ndulu from the 1970s kuhusu athari za huu mradi downstream (these are agricutural economists). Pia tafuta kitabu cha Kjell Havnevik on the same case. Then, continue debating.
Safi sana
 
Kwanza mimi siyo mjinga. Pili, hakuna kampuni ya kimataifa itakubali kufanya hiyo kazi katika eneo husika. Tayari kuna mgogoro wa kimazingira? Tambua kuwa natamani sana kupata huo umeme, lakn kwa namna tunavyosimamia inaleta shaka sana kama utatoboa.

Muda ni kipimo kizuri sana.
Muda huo Ukifika utafunika uso wako kwa viganja vya mikono yako kama manyani ya kwenye akili na nduguze.
 
Hata ule mradi wa kituo cha mabasi jangwani uliongozwa na EIA na watu walitoa tahadhari
IMG-20180515-WA0052.jpg
 
Back
Top Bottom