Kwetu kaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 582
- 475
titatengenezea madawati bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapaAjiulize pale jangwani tathmini ya mradi haikuwepo, nini kinatokea saa hizi?
Tuliotoa ridhaa tu najua nini kilichoahidiwa. Gasi ilikuwa njia ya haraka kuondoa mgao wa Umeme. Mpaka sasa uwekezaji unaendelea.
Wewe unakereka nini Umeme wa maji ukipatikana kwa bei ya chini
Kinachotokea ni changamoto iliyotegemewa. Angekuwapo aliyeusimamia Ujenzi angetoa ufumbuzi wa kifumu. Sioni tatizo hapo la kumshinda mwanadamuHata ule mradi wa kituo cha mabasi jangwani uliongozwa na EIA na watu walitoa tahadhariView attachment 780090
Kwa akili yako hakuna kinachoendelea kwenye gesi? Mbona sikuelewi au nawasiliana na roboti? Kama unayejibu ni mtu ngoja nikuambie machache yanayoendelea kwenye gesi. Sasa hivi inatathiminiwa zabuni ya kumpata mshauri mwelekezi kwenye masuala ya LG plant.Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Unadhani kila anayeihoji serekali basi alikuwa anamfagilia Lowassa huyo muhuni toka ccm. kichwa chako kimejaa siasa za ccm na cdm kiasi kwamba unadhani kila mchangiaji ni kama ww.
Huo umeme wa gas haukuwahi kutangazwa kuwa ni kwa ajili ya kuondoa mgao bali ulifikia mpaka mahali tukaambiwa itakuwa nchi ya uchumi wa gas. Na sisi wote huwa tunawajua viongozi wetu karibu wote wa ngozi nyeusi huwa hawana uwezo wa kusimamia jambo likafanyika kwa tija. Utashangaa aliyepita akisadikisha umeme wa gas ni suluhisho lakini ukweli ni kinyume chake. Ameingia huyu kama vile kapindua nchi na ni wa chama tofauti, anahubiri mradi wa umeme wa maji huku mfukoni sent tano hana. Ukimuuliza kwanini sio gas na ulikuwa kwenye serekali iliyohubiri uchumi wa gas ataishia kutoa kejeli za ulevi wa madaraka. Atakuambia umeme wa maji ni nafuu, ukimuuliza kwanini alikuwa kimya wakati gas inasifiwa, unaenda kupimwa mkojo. Kichekesho ni hapo atakapojitutumua kuanza huo mradi atamaliza muda wake kabla ya kukamilisha, kisha akiingia mwingine anakuja na yake ya umeme wa upepo/solar kwamba ndio rahisi!! Kisha nyie mtaanza tena kupanga vina kwenye mashairi yenu
Kwa akili yako hakuna kinachoendelea kwenye gesi? Mbona sikuelewi au nawasiliana na roboti? Kama unayejibu ni mtu ngoja nikuambie machache yanayoendelea kwenye gesi. Sasa hivi inatathiminiwa zabuni ya kumpata mshauri mwelekezi kwenye masuala ya LG plant.
Pale kinyerezi hivi karibuni yaani mwezi April 2018 Magufuli kazindua mg 350 kwa Pesa alizozitoa akiwa madarakani. Pia Ujenzi wa mitambo ya kutoa mg 600 michakato yake unaendelea. Lengo mpaka 2020 Kuwe na mg 5000 na stigler itatoa mg 2100 ni wazi gesi ndio itatoa Umeme mwingi hivyo kutiwa uchumi wa gesi ni sawa.
Kwa spidi ya utekelezaji iliyotangazwa EIA haiwezi kuwa imekamilika. Hakuna full disclosure hapo na wahusika wenyewe wana ugomvi na lugha.huu ujinga wa magharibi ndio kwanza unausikia?
EIA ya mradi huo ipo na ndio inaongoza mradi mzima huo.
Kila kitu kinachofanywa nchini chenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania wewe upo kinyume chake. Aibu itakupata a good always over evil
SGR ina kwenda vizuri sana nguzo 100 za kuingiza na kutoa treni jijini zinajengwa.Ni hivi hicho kinachoendelea kwenye gas ni chini ya matarajio, na hayo unayozungumza kwamba hela zimeyolewa kwa ajili ya kufikia 5000mg kwa sehemu kubwa ni maneno ya jukwaani. Huo mradi wa stiegler gorge ulikuwa unatajwa kama sehemu ya mafanikio yake na tender ikatangazwa kabisa ila kuwakoga majuha kama ww, lakini ukweli uko wazi hakuna sent tano ya huo mradi kwani ndio kwanza hela inakopwa na hakuna uhakika wa kuipata.
Unachoongea ni matarajio na sio mafanikio kama inavyopotoshwa na wapenda sifa. Hilo la kujivunia matarajio na kuanza kutamba majukwaani linafanyika kuwapata nyie wenye uelewa finyu. Utafikia 5000mg 2020 wakati hata sukari na mafuta ya kula yamekushinda kudhibiti bei? Don't be naive. Kama ww sio mjinga wa kiwango cha kutisha hebu sema ujenzi wa SGR umefikia asilimia ngapi wangalau kipande cha Dar-Moro kwani tuliambiwa hiyo reli kufikia 2020 itakuwa imefika Dodoma na kuanza kazi.
Bora wewe umenadi wanaokutuma. Huu ndio upumbavu sitaki kuusikia. Wao kwao wanatumia nyuklia kama chanzo cha nishati. Kila raia anamudu gharama za Umeme kwa kupika. Kwetu hata waziri hamudu kupika Umeme.
Kwa kweli kodi iliyokusomesha wewe kibaraka wa wazungu inaniuma sana
Si lazima sote tusome. Kinachofanywa na serikali si ndoto. Kama unafikiri ni ndoto wewe lala. Tunaye Rais mwenye kiu na wito wa kutenda. Zama za upuuzi wenu zimekwisha eti wanaharakati wa mazjngira ujinga mtupuYou mean, nimewanadi waliomtuma Prof. Mwalosyi? Kwamba Prof. Mwalosyi alitumwa? Kwani hata wazo la kujenga Stiegler's Gorge Hydro Power Plant unafikiri lilitoka wapi? Si lilitoka kwa Wazungu? Au unafikiri limetoka kwa JPM? And do you mean nuclear power sources are more harmful to the environment than your STIGO project? Tatizo kubwa ulilonalo ni kwamba maoni yako yanatokana na ndoto unazoota usiku. You don't read.
Uvccm akili hunaHii BBC ni ya kupigwa marufuku hapa nchini kwani wanadharau sana inamaana watanzania hawana akili za kutofautisha faida na hasara kwa miradi ya maendeleo hapa nchini? wao ndio wana akili sana eeeh. Watukome kabisa watuachie maisha yetu .
Sidhani kama tuna uwezo wa kutekeleza huu mradi in ten yrs to come! We dont have smart leaders to implement it. Sorry!