Zaidi ya ndege 40 za Marekani zaharibiwa tokea wa mapigano ya anga ya Iran

Tupe update za upande wa Iran🇮🇷 ameathirikaje na hii vita make naona tu wanasema marekani kashindwa vita
Islamist jihadists hawawezi kutoa za washia wa Iran kwa sababu Iran inaficha sana hizo taarifa na hata wangezipata bado wasingezitoa kwa sababu za kidini.

Ila ukweli ni kwamba ukarabati wa Iran utachukua zaidi ya miongo miwili.
 
Umejuaje kama utachukua miongo miwili wakati taarifa wanazificha sana
Safari hii mutajamba sanaaaaaaa
 
Ndio tatizo la elimu yenu ya necta na walimu vilaza, siwezi kusema wahadhiri sababu nina uhakika 100% huku fika hata chuo
Mnajibu kwa kutumia hisia badala ya uhalisia, ndio maana hata waliofika elimu ya juu hawaajiriki nje ya nchi kwa upeo mdogo wa kuchambua taarifa
Naona wewe ni kujiropokea tu. Kwa hiyo wewe ndio The Chief Matriculation Officer wa vyuo vyote vya ndani na nje ya nchi hii, au unaona arguments zangu humu ni sawa na nyie wa madrasa kweli.
 
Arguments au unachamba umbea?
 
Back
Top Bottom