Mbona ndoa nyingi tu watu wamejipanga. Ndo inakuwa nzuri na furaha miaka miwili ya mwanzo. Baada ya hapo ni maigizo tu.Ndio maana wengine mnaambiwa kama hamjajipanga msioe, na usioe/kuolewa kwa kufata mkumbo na pia kama hauko tayari kuoa/kuolewa usifanye hivyo maana sio dhambi
Chanzo kingine cha kuvunjika kwa ndoa ni: Madem wengi hawafikishwi wanaamua kusepabora kutokuoa, huu usawa unaohubiriwa ndio chanzo cha yote
Wengine wanakurupukaMbona ndoa nyingi tu watu wamejipanga. Ndo inakuwa nzuri na furaha miaka miwili ya mwanzo. Baada ya hapo ni maigizo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku Temeke hatuna maskhara mkizinguana kila mmoja anasepa[emoji16]
.... sio kweli unless uongeze maneno KWA WASTANI.Kwa takwimu hizo ina maanisha kila siku ndoa moja inavunjika