Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika Temeke (Dar es Salaam) tangu mwaka 2021

Siyo ushauri mbaya ivi hamuonj haya yanayoendelea kwenye hii nchi mauwaji sababu ya wivu WA kimapenzi yameshamiri ni Bora kuachana maisha mengine yaendelee kuliko kumwagana damu
 
Mkuu wa wilaya temeke mwenyewe hayupo kwenye ndoa mtapataje baraka huko temeke
 
Temeke kuna waislamu wengi kuliko eneo lolote Dar

Waislamu kuachana na kupeana talaka kitu kidogo mno

Ndoa nyingi za Kiislamu hufungwa karibu na mwezi wa Ramadhani. Mfungo wa Ramadhani ukiisha wanbwagana kwa Talaka
 
Temeke kumejaa wamakonde,wamakua na watu wa Pwani kuanzia .Hao kwenye ndoa kuachana dakika tu
 
Aisee!! Hapo usikute wanaongozwa na ile kauli ukiniacha leo naolewa kesho au nikikuacha leo kesho naoa.

Kumbe hamna kitu.
 
Pia inawezekana ikawa ni awareness ni kubwa huko Temeke kama ilivyo nchi zilizo endeleeni.

Wana fahamu kuwa ni bora kuchukua tahadhari mapema kabla ya hatari.
 
Siyo ushauri mbaya ivi hamuonj haya yanayoendelea kwenye hii nchi mauwaji sababu ya wivu WA kimapenzi yameshamiri ni Bora kuachana maisha mengine yaendelee kuliko kumwagana damu
Aliyesema ni ushauri mbaya nani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…