Tetesi: Zaidi ya Nusu Wajumbe Kamati ya Maadili Kujiuzulu Kabla ya 21/1

Hivi Lissu anahutubia lini UN security council?
Hivi serikali itaruhusu lini wachunguzi huru toka nje waje kuchunguza shambulio dhidi ya lisu? hivi aliyemuua Akwilin yule polisi aliyepindisha risasi anafikishwa lini mahakamani? hivi zile maiti zilizokuwa zinaokotwa kwenye sandarusi ni za kinanani hasa? maswali ni mengi
wakisaidia bajeti ni wadau wa maendleo, wakisaidia ccm ni washirika.. wakisaidia wengine mabeberu.
 
Hawa Abdulrahman Ghasia huwa anapenda kusimamia anachokiamini bila ya kujalisha kiko sahihi Au laaa!
Alikoswa koswa kufukuzwa Mzumbe Na alikuwa tayari kufukuzwa Chuo Kuliko kubadili Msimamo , kuna faida Na HASARA ya Kuwa Na tabia hiyo
good
 
Hebu wajiuzulu abaki Ndugai peke yake,wamuache amhoji CAG akiwa peke yake.
 
Safi sana !
 
Utajifunza nini baada ya kuteua wengine kufuatia walio jiuzulu ... ???

Au kwako tukio la leo sio issue kwa mustakabali wako wa kesho ... Yaani maanake yake Bora liende ... !!!

Inzi wa kijani utawajua hawataki marashi wanapenda harufu ya c**o tu ...

Corela tupu ...

Safi sana, wengine watateuliwa kwani hawakuteuliwa ili wawepo milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasipogombea si atabaki jiwe peke yake na nkamia au Ndugai.
 
Tar 21 siyo mbali, ila Ingependeza si ei ji asiende tuone pingu za mgogo
 
Mleta mada anajaribu kuwashawishi wajumbe wa hiyo kamati wajiuzulu ila anasahau kwamba wanaweza teuliwa wengine na pia kinachoshangaza zaidi ni kwa watu kama yeye kuishambulia kamati ambayo hapo awali walidai haina mamlaka ya kumhoji CAG.
 
Hivi Lissu anahutubia lini UN security council?
Cyprian musiba na Le mutuz wameamba Bajeti kwa Bashite waagize waganga wengine wa kienyeji wakiamini watawasaidia Tundu Lisu asiwataje kwenye Tukio la kwenda Dodoma kumpiga Risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…