ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Wala haijapora maana ni tawi la Muhimbili UniversityMloganzila ni hospitali ya chuo. Serikali ilipora tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala haijapora maana ni tawi la Muhimbili UniversityMloganzila ni hospitali ya chuo. Serikali ilipora tu.
Mlonganzila wanapanua Chuo Chao Wana pesa zaidi ya bil.40Ningeshauri wajenge kule Mlonganzila kama kuna nafasi bado...
Basi hamia DarDodoma kuna hospitali kama Muhimbili?
Ndo maana yaitwa Muhimbili Mloganzira.Wala haijapora maana ni tawi la Muhimbili University
Nipo DarBasi hamia Dar
Haipo chini ya chuo. Wakorea walitoa mkopo kujenga hospitali ya chuo serikali ikapora.Wala haijapora maana ni tawi la Muhimbili University
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Chanzo: Habari Leo
My Take
Udom na Ukubwa wake na Majengo Yote Yale ilijengwa Kwa Bilioni 600,Sasa Hiyo Muhimbili itakuwa na jipya gani Hadi igharimu pesa zote hizo? Kuna harufu ya upigaji
ivi kaka unawajua Wezi lakiniHata hiyo ni pesa nyingi sana haiwezi kufika hapo ,unaijua bil.10 lakini?
Wewe unawajua?ivi kaka unawajua Wezi lakini
Kwani mpya sio ujenzi na watu hawatajiriki?Upigaji mwingine.Project kama hizi ndo watu hutajirika .Hizo pesa si wangejenga hospital mpya.
Kote sawa tu.Ila kwe pesa hizo bora wangejenga mpya ya rufaa.Kwani mpya sio ujenzi na watu hawatajiriki?
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Chanzo: Habari Leo
My Take
Udom na Ukubwa wake na Majengo Yote Yale ilijengwa Kwa Bilioni 600,Sasa Hiyo Muhimbili itakuwa na jipya gani Hadi igharimu pesa zote hizo? Kuna harufu ya upigaji
Majengo yameoza , hospital ya mkoloni hiyoWajenge sehemu nyingine hiyo waiache kama ilivyo, Tawi kama tawi.
Wacha kitovu cha uchumi wa Tanzania liendelee kuwa jiji la kisasa.Wasibomoe. Hizo hela wakajenge hospitali nyingine yenye hadhi zaidi maeneo mengine ya nchi mfano Dodoma Katavi na kwingineko!!
Utekelezaji huu ukifanyika itakuwa ni aibu kwa waliotoa wazo, walosikiliza wazo na kulikubali, kisha kulisimamia kulifanyia kazi!
Hii itakuwa ni kidonda juu ya suala la Bandari!
@TUJITEGEMEE umenena vyema sana sana sana mwamba...hata mm nimewaza kwann wabomoe kwann wasijenge hospital yenye hadhi kubwa zaidi kuliko hyo muhimbili au kama lengo ni national hospital kwann wasihamie huko watakakojenga majengo yenye hadhi nakikidhi haja hapo wakapanga shuguli zingine??kama ikulu imeweza kuhama,sembuse hospital??wanaweza kuifanya kua hata hospital ya manispaa tu wao wakahamia sehemu nyingine as anatinal hospital..kuna upigaji tu hapo sio bure.Wasibomoe. Hizo hela wakajenge hospitali nyingine yenye hadhi zaidi maeneo mengine ya nchi mfano Dodoma Katavi na kwingineko!!
Utekelezaji huu ukifanyika itakuwa ni aibu kwa waliotoa wazo, walosikiliza wazo na kulikubali, kisha kulisimamia kulifanyia kazi!
Hii itakuwa ni kidonda juu ya suala la Bandari!
@kinje ketile kweli kabisa mzeebabaMloganzila Bado Kuna Eneo La Kutosha, wakajenge Majengo Ya Kisasa huko badala ya kuleta mbanano hapo hapo...!
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Chanzo: Habari Leo
My Take
Udom na Ukubwa wake na Majengo Yote Yale ilijengwa Kwa Bilioni 600,Sasa Hiyo Muhimbili itakuwa na jipya gani Hadi igharimu pesa zote hizo? Kuna harufu ya upigaji
View attachment 2714590View attachment 2714591