TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Chuma kutoka Ukraine
Nimepitia comments kwenye hiyo tweet nimeshtuka juu ya huyo Daktari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma kutoka Ukraine
Comments za Sukuma gangNimepitia comments kwenye hiyo tweet nimeshtuka juu ya huyo Daktari!
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Chanzo: Habari Leo
My Take
Udom na Ukubwa wake na Majengo Yote Yale ilijengwa Kwa Bilioni 600,Sasa Hiyo Muhimbili itakuwa na jipya gani Hadi igharimu pesa zote hizo? Kuna harufu ya upigaji
View attachment 2714590View attachment 2714591

Mzee hapo kuna majengo yatakarabatiwa tu afu unaambiwa yamejengwa pesa inapigwa mpaka basikwanini wabomoe majengo ambayo bado yanafaa kimatumizi!
wakajenge maeneo ya wazi bado yapo mengi sana.
"Tanzania tuna wasomi wajinga sana"
Jesus is Lord
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Chanzo: Habari Leo
My Take
Udom na Ukubwa wake na Majengo Yote Yale ilijengwa Kwa Bilioni 600,Sasa Hiyo Muhimbili itakuwa na jipya gani Hadi igharimu pesa zote hizo? Kuna harufu ya upigaji
View attachment 2714590View attachment 2714591
ExactlyWasibomoe. Hizo hela wakajenge hospitali nyingine yenye hadhi zaidi maeneo mengine ya nchi mfano Dodoma Katavi na kwingineko!!
Utekelezaji huu ukifanyika itakuwa ni aibu kwa waliotoa wazo, walosikiliza wazo na kulikubali, kisha kulisimamia kulifanyia kazi!
Hii itakuwa ni kidonda juu ya suala la Bandari!
Kujenga mpya kuna gharama zaidi.Kote sawa tu.Ila kwe pesa hizo bora wangejenga mpya ya rufaa.
Wewe nawe kama tunaseza nunua ma vx new models kila mwaka, tutashindwa kujenga Sibitali"in my bibis voice". Ni priorities tu.Kujenga mpya kuna gharama zaidi.
Ukijenga hospital mpya, unahitaji ununue Vifaa vipya( ambavyo ni Gharama Sanaa).
Unahitaji uwe na madaktari bobezi na Bingwa. Kwa sasa tanzania tulionao ni wachache sana. Na kuwasomesha hawa ni gharama.
Unahitaji uwe na wataalamu wapya( wauguzi, madktari, watu wa madawa n.k.
Kujenga hospital mpya yenye ukubwa sawa na Muhimbili, si project ya kitoto.
Na unaweza fanya yote hayo, hospital ikashindwa kujiendesha.
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Watabomoa Baadhi ya majengo sio yoteHuu ni upotevu wa fedha...
Hiyo fedha ni bora ingetumika kujenga hospitali nyingine mpya kabisa kama walivyofanya Mloganzila...
Na Muhimbili ya sasa ingeendelea kuwepo kwa kuwa ndani yake kuna taasisi za tiba ambazo bado ni mpya na zina vifaa vizuri tu...
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi amesema kuwa Muhimbili ni moja kati ya miradi saba mikubwa ya Serikali iliyoidhinishwa, hivyo itabomolewa na kuanza ujenzi upya.
“Lakini itakwenda kwa awamu si kwamba itajengwa kwa wakati mmoja. Awamu ya kwanza tutaanza upande wa makuti kisha katikati na tutaenda na mbele. Tutaona hospitali nyingine mpya ambayo itakuwa na ukubwa kama huu wa sasa lakini majengo yatakuwa ya kisasazaidi,” amesema Prof. Janabi.
Prof. Janabi amesema kuwa gharama ya kujenga upya hospitali hiyo itakuwa ni zaidi ya Sh bilioni 600 ambazo wamepatiwa kama mkopo nafuu kutoka benki ya Exim na utaanza kulipwa baada ya miaka 25
Chanzo: Habari Leo
My Take
Udom na Ukubwa wake na Majengo Yote Yale ilijengwa Kwa Bilioni 600,Sasa Hiyo Muhimbili itakuwa na jipya gani Hadi igharimu pesa zote hizo? Kuna harufu ya upigaji
View attachment 2714590View attachment 2714591
Hatutaki mawazo yenu. Sisi tumeishaamua lazima muhimbili tuipige chini. Hutaki tutaipiga chini, unataka tutaipiga chini.Huu ni upotevu wa fedha...
Hiyo fedha ni bora ingetumika kujenga hospitali nyingine mpya kabisa kama walivyofanya Mloganzila...
Na Muhimbili ya sasa ingeendelea kuwepo kwa kuwa ndani yake kuna taasisi za tiba ambazo bado ni mpya na zina vifaa vizuri tu...
Kabisa, za sasa (pamoja na Mlonganzila)wangezizatiti kwa vifaa vya kisasa na wataalamu, halafu eneo jingine, kubwa na nje ya msongamano wa Dar(mikoani) ndio wangejenga mpya ambayo ingetoa fursa kwa WaTz wengine wafikiwe kwa ukatibu kuliko wote kuja Dar.Wasibomoe. Hizo hela wakajenge hospitali nyingine yenye hadhi zaidi maeneo mengine ya nchi mfano Dodoma Katavi na kwingineko!!