Zaidi ya Shilingi Bilioni 600 kujenga upya Hospitali ya Muhimbili, Mkopo utalipwa baada ya miaka 25

Chuma kutoka Ukraine
 
Wajenge sehemu nyingine hiyo waiache kama ilivyo, Tawi kama tawi.
 
Wacha kitovu cha uchumi wa Tanzania liendelee kuwa jiji la kisasa.

Bandari upya, hospitali upya.
 
@TUJITEGEMEE umenena vyema sana sana sana mwamba...hata mm nimewaza kwann wabomoe kwann wasijenge hospital yenye hadhi kubwa zaidi kuliko hyo muhimbili au kama lengo ni national hospital kwann wasihamie huko watakakojenga majengo yenye hadhi nakikidhi haja hapo wakapanga shuguli zingine??kama ikulu imeweza kuhama,sembuse hospital??wanaweza kuifanya kua hata hospital ya manispaa tu wao wakahamia sehemu nyingine as anatinal hospital..kuna upigaji tu hapo sio bure.
 
Wanapaswa kujenga hospitali mpya kubwa mahali pengine na siyo kukarabati uozo huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…