Zaidi ya Shilingi Bilioni 600 kujenga upya Hospitali ya Muhimbili, Mkopo utalipwa baada ya miaka 25

Ningeshauri wajenge kule Mlonganzila kama kuna nafasi bado...
Kwa nini Mloganzila ?

Ijengwe Songea huko au Tanga au Iringa tena hata tatu kwa bei hiyo zinatoka.

Au, wasijenge kabisa. Wanunue na wakarabati vifaa tiba, wakasomeshe wataalam na wa susidize health insurance fund.

Huduma, utaalam, vifaa, na gharama ni masuala muhimu kuliko majengo.
 
Ela ambazo wanawakata madaktar na wafanya biashara wengine , hata faida wanayopata serikali kwa zaid ya miaka 40 iliyopita hii ela imeenda wap ? Mpk kila kitu tukope ? Sizan kama Muhimbili wanahudumia bure , ADUI WA MWAFRIKA NI WIZI
 
Hii serekali haishauriki , ukute mbuz mmoja ndo kashawishi hizo ela zipelekwe hapo wakati wangeweza kujenga hospitali hata kule nyanda za kusini kuna hali mbaya sana maeneo yapo mbali mbali sana usafiri pia mbovu
 
Hata hiyo ni pesa nyingi sana haiwezi kufika hapo ,unaijua bil.10 lakini?
Mlaji sio mmoja na kila mmoja anamuachia mwenzie msala , na alieachiwa anakula akihisi wenzie hawajala , mpk ikifika site nusu ya ela
 
Tuendelee kuwapa Ushauri huenda wakaghairi japo ilitakiwa watoe sababu Kwa nini sio hospital Mpya
Utaitwa mchochez ww , wao wanajuwa hali ya huduma za afya huko (Katavi , Rukwa ) Ruvuma ,Mtwara ,Lindi) (Simiyu , Mara na Arusha ) hv wangegawa 200B si wangejenga hospital moja kila kanda hapo
 
Ndo maana yaitwa Muhimbili Mloganzira.

Watu wabinafsi tu, wanataka ikajengwa nanjilinji
Hii ni nchi moja kwa hapa dar zipo hospital nying kubwa kwann tusiwe na huruma na mama zetu wanaokufa mikoani ?
 
Kote sawa tu.Ila kwe pesa hizo bora wangejenga mpya ya rufaa.
Kbs , hlf baadae serikali ikihojiwa kwann huduma za afya sehem fulan ni mbov wanajibu kuwa sisi ni nchi maskin , wkt kipind kama hiki hawakumbuk kuwa kuna dogo alikufa kigoma kisa huduma ilibid aje apate dsm na ni mbali , hopeless leaders
 
Wezi hawa, wakope wao tulipe sisi miaka 25 ijayo?! Majengo ya Muhimbili bado Imara yafanyiwe ukarabati mkubwa.

Ila niliwahi kupita hostel duh, nilishangaa sana zilivyo chakaa utadhani hakuna uongozi wa chuo.
 
Si waende Kigamboni huko wakajenge hospital nyingine.
 
Matumizi mabaya ya pesa za umma.Awamy ya sita imekuwa ya wachawi sana .
 
Ub
Uba
Ubadhirifu na matumizi ya hovyo ya pesa kama kawaida ya WaTz! Nchi kubwa ina maeneo na wakaaji nchi nzima, huduma muhimu unazilundika eneo moja tena dogo, lililozongwa na miundombinu ya usafiri dhaifu, na zaidi kwa kubomoa majengo yaliyopo! Kwa nini eneo hili lisiachwe na lite wakashughulika na masala ya moyo tu, au mifupa tu, halafu likatafutwa eneo jingone mkoa mbali na Dar wakawekeza hicho wanachokusudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…