Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

Madini anayo, hususani dhahabu anazo nyingi hata kabla ya USA kutokea.
 
Tatizo watu hamtaki kusoma na mkitoka huko masjid ni moja kwa moja vijiweni kuchuuza uongo.

 
Mbuzi mmoja yuko ndani Igurubi kata Igunga anaishaingilia US kupata madini
 
Huu ni uthibitisho kwamba mwenye nacho huongezewa.
 
Unaongea porojo tu za masjid ubwabwa kwa sababu huongei kwa kutoa ushahidi wa madai yako. Usitafute visingizio ili kuhalalisha umaskini wa waafrika wakati bara limejaa ufisadi, sera mbovu na mipango ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…