DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Tupe ushahidi vinginevyo ni porojo tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
Udini umeingiaje tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe ushahidi vinginevyo ni porojo tu za masjid ubwabwa kama kawaida.
Mchangiaji waga anachangia kwa hisia za kidini.Udini umeingiaje tena?
Ndio tuonavyo nchi za kiarabu wakinyonya mafuta kwa kutumia ubavuUnaweza kuwa nazo na bado ukaona kama hazikutoshi hivi, ndiyo sababu ya kuendelea kutamani rasilimali za wengine ili kujilimbikizia zaidi.
Basi mjibu kwa hoja, na sio kuingiza udiniMchangiaji waga anachangia kwa hisia za kidini.
Ila wee jamaa hahaaaaNa hamna kitu mtaona nyie! Hakyamungu
Madini anayo, hususani dhahabu anazo nyingi hata kabla ya USA kutokea.Kwa utitiri wa madini waliyo nayo kama. Ni kweli wanayo pasingekuwa na haja ya kutupia condoms wao wachukue madini yetu.
Vita vyote wanazozipiga Nchi za uarabuni lengo waibe mafuta maana hawana Kila kitu.
Sioni ulazima wa kwenda kuwa watu Kisha kupora Mali zao Ili Hali nawewe unazo tele.
Tupe USHAHIDI kama uliwahi chimba dhahabu,Almasi au hata ulanga tu pale USA
Nikuonyeshe sufuria ya mbao.
Tatizo watu hamtaki kusoma na mkitoka huko masjid ni moja kwa moja vijiweni kuchuuza uongo.Kwa utitiri wa madini waliyo nayo kama. Ni kweli wanayo pasingekuwa na haja ya kutupia condoms wao wachukue madini yetu.
Vita vyote wanazozipiga Nchi za uarabuni lengo waibe mafuta maana hawana Kila kitu.
Sioni ulazima wa kwenda kuwa watu Kisha kupora Mali zao Ili Hali nawewe unazo tele.
Tupe USHAHIDI kama uliwahi chimba dhahabu,Almasi au hata ulanga tu pale USA
Nikuonyeshe sufuria ya mbao.
Huu ni uthibitisho kwamba mwenye nacho huongezewa.Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.
Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.
![]()
Over 2 billion tons of rare Earth mineral found in US could make country the new 'world leader'
The discovery has the potential to make the US a world leader in rare Earth mineralswww.unilad.com
Unaongea porojo tu za masjid ubwabwa kwa sababu huongei kwa kutoa ushahidi wa madai yako. Usitafute visingizio ili kuhalalisha umaskini wa waafrika wakati bara limejaa ufisadi, sera mbovu na mipango ya hovyo.Sikushangai kwa kuwa na ufahamu finyu, ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Kawaulizee Gen Z kenya kamuulize na Ibrahim Traore huko Afrika ya Magharibi, muulize na Mugabe.
Unafahamu kuwa kwa nguvu ya teknolijia, sasa hivi unaweza kuwauliza hata marehemu?
Yupi Bora anayeshangilia ama anayechukia?Mbuzi mmoja yuko ndani Igurubi kata Igunga anaishaingilia US kupata madini