Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

Kwa utitiri wa madini waliyo nayo kama. Ni kweli wanayo pasingekuwa na haja ya kutupia condoms wao wachukue madini yetu.

Vita vyote wanazozipiga Nchi za uarabuni lengo waibe mafuta maana hawana Kila kitu.

Sioni ulazima wa kwenda kuwa watu Kisha kupora Mali zao Ili Hali nawewe unazo tele.

Tupe USHAHIDI kama uliwahi chimba dhahabu,Almasi au hata ulanga tu pale USA

Nikuonyeshe sufuria ya mbao.
Madini anayo, hususani dhahabu anazo nyingi hata kabla ya USA kutokea.
 
Kwa utitiri wa madini waliyo nayo kama. Ni kweli wanayo pasingekuwa na haja ya kutupia condoms wao wachukue madini yetu.

Vita vyote wanazozipiga Nchi za uarabuni lengo waibe mafuta maana hawana Kila kitu.

Sioni ulazima wa kwenda kuwa watu Kisha kupora Mali zao Ili Hali nawewe unazo tele.

Tupe USHAHIDI kama uliwahi chimba dhahabu,Almasi au hata ulanga tu pale USA

Nikuonyeshe sufuria ya mbao.
Tatizo watu hamtaki kusoma na mkitoka huko masjid ni moja kwa moja vijiweni kuchuuza uongo.

Mbuzi mmoja yuko ndani Igurubi kata Igunga anaishaingilia US kupata madini
 
Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.

Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.

Huu ni uthibitisho kwamba mwenye nacho huongezewa.
 
Sikushangai kwa kuwa na ufahamu finyu, ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

Kawaulizee Gen Z kenya kamuulize na Ibrahim Traore huko Afrika ya Magharibi, muulize na Mugabe.

Unafahamu kuwa kwa nguvu ya teknolijia, sasa hivi unaweza kuwauliza hata marehemu?
Unaongea porojo tu za masjid ubwabwa kwa sababu huongei kwa kutoa ushahidi wa madai yako. Usitafute visingizio ili kuhalalisha umaskini wa waafrika wakati bara limejaa ufisadi, sera mbovu na mipango ya hovyo.
 
Back
Top Bottom