Zaidi ya Wakulima wa miwa 11,000 Kilombero Morogoro wameungana na Mpina kumpeleka Bashe mahakamani

Mama hasikii wala haambiwi kuhusu hugu Bashe.
Kama ilivyo kwa. Mwigulu na Nape. Sisi ndio tunao jua nani anafaa na wapi. Tunapo sema fulani ni mwizi tunaomba Mama tumsikilize.. Sisi ndio waajiri wako. Usije sema hatuku kuambia.
 
Una uhakika Huwa unatoka Hela kununua Sukari? Au Baba/Mama / Dada/Kaka/ Shemeji yako ndioz wanaokupa Hela ukafate Sukari Dukan?.
Acha kumjibu kwa kejeli. Ni kweli hao wanaotetewa na Mpina wamepandisha bei ya sukari kwa kutengeneza uhaba bandia. Sukari imechezea kati ya Tas 6000 hadi 10000 hapo majuzi. Bashe kanyagia hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…