umeisoma lakini sheria yenyewe wanayoipinga wakulima?Acha kumjibu kwa kejeli. Ni kweli hao wanaotetewa na Mpina wamepandisha bei ya sukari kwa kutengeneza uhaba bandia. Sukari imechezea kati ya Tas 6000 hadi 10000 hapo majuzi. Bashe kanyagia hapo hapo.
Hawa wakulima wana syndicate yao ndio maana Bei ya sukari iko juuZaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.
Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.
Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Hao wamekuwa brainwashed na hao mafisadi wa viwanda.umeisoma lakini sheria yenyewe wanayoipinga wakulima?
CCM na Spika wao kuna wabunge wa kumsifia Samia siyo kuwatetea wananchi. Isipokuwa Luhaga nimemtoa kwenye kundi hilo.Kwani huko Kilombero na Morogoro hakuna wabunge wa kuwatetea hao wakulima? mmefanya vizuri sana kuungana kwenda mahakamani kupinga hiyo sheria mpya ya bashe kuhusu sukari
Mwashambwa anafukuzia teuzi Kwa nguvu zote. Hv Mama alipopita Tunduma kakusahau? Oh masikini pole!
Unamsaidia Bashe au vp? Kwahiyo wakulima umewafanya wajinga hawana akili na hawastahili kutetea haki zao! waTanganyika wa leo siyo wa mwaka 47Wapeleke miwa viwandani waache ujinga wa kesi hautawasaisia ,watapoteza pesa na na hakuna watakachopata.
CartelWanapoteza muda tu. Mimi ni mwenyeji wa Mbeya. Miaka yote Mbeya sukari tunatumia ya Ilovo kutoka Malawi na inapatikana sana kwa bei nafuu. Na wanaoleta hiyo sukari hawaombi vibari kwa Hussein Bashe.
Jiulize tu kwa nini viwanda vyetu vuinashindwa kuuza sukari kwa bei competitive.
Kesi haina mashiko, hili ni soko huria, wapunguze gharama za uzalishaji na wazalishe sukari nyingi tutanunua
Hao wamekuwa brainwashed na hao mafisadi wa viwanda.