Zaidi ya Wapalestina 200 wanaoishi Gaza wampokea Yesu kimuujiza

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Wagaza hawa wanadai walitokewa na Yesu ndotoni, na kupewa maelekezo.

Kuna vuguvugu kubwa la kikristo linaloendelea chini kwa chini katika kila ardhi ya mwarabu muislam. Pale pagumu kabisa Yesu mwenyewe anaingia front. Hii kitu imetokea gaza.

Hii si mara ya Kwanza. Mungu alimtokea Abram kwa style hiihii.

Yesu alimtokea Paulo kwa style hiihii. Huko somalia kuna taarifa maelfu ya watu wanatokewa kwa njia hizihizi.

Kimsingi hakuna atakayepote kwa bahati mbaya. Mpangokazi wa Mungu kumuokoa mwanadamu ni wa juu sana kiasi kwamba kila atakayepotea atapotea kwa kupenda na kukataa kwa makusudi mpangokazi wa kuokolewa kwake.

Chanzo

 
Uharo
 
Tusubiri mwisho wake
 
Wayahudi waliolowea Israeli lini watampokea YESU maana wanamchukia kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…