Zaidi ya Wapalestina 200 wanaoishi Gaza wampokea Yesu kimuujiza

Zaidi ya Wapalestina 200 wanaoishi Gaza wampokea Yesu kimuujiza

Screenshot_20231215-102240.png
 
Saudi arabia, iran na kwingine kwenye uislam konk patakombolewa, Yesu anawapenda watu wa huko, haitakuwa ajabu kukuta makanisa mengi huko watu wakimuabudu kristo
Alafu unajiita mwalimu unaye takiwa kufundisha watoto ambao ndo kizazi cha kesho kweli nchi hii ina hasara kubwa .
 
Kumbe waisraeli wakaze hapo hapo baada ya miezi walau mitatu kaeneo kote ka gaza waliomuona Yesu watakuwa 90%. ....💪💪💪👏👏👏
 
Wagaza hawa wanadai walitokewa na Yesu ndotoni, na kupewa maelekezo.

Kuna vuguvugu kubwa la kikristo linaloendelea chini kwa chini katika kila ardhi ya mwarabu muislam. Pale pagumu kabisa Yesu mwenyewe anaingia front. Hii kitu imetokea gaza.

Hii si mara ya Kwanza. Mungu alimtokea Abram kwa style hiihii.

Yesu alimtokea Paulo kwa style hiihii. Huko somalia kuna taarifa maelfu ya watu wanatokewa kwa njia hizihizi.

Kimsingi hakuna atakayepote kwa bahati mbaya. Mpangokazi wa Mungu kumuokoa mwanadamu ni wa juu sana kiasi kwamba kila atakayepotea atapotea kwa kupenda na kukataa kwa makusudi mpangokazi wa kuokolewa kwake.

Chanzo

Utumbo....
 
Alafu unajiita mwalimu unaye takiwa kufundisha watoto ambao ndo kizazi cha kesho kweli nchi hii ina hasara kubwa .
ndiyo mi ni mwalimu, tena mwenye upeo mkubwa, katika kufundisha watoto wa taifa hili hufundisha kwa usawa na haki bila kujali dini na madhehebu yao, nafundisha maadili ya taifa hili kwa mujibu wa mila, desturi na tamaduni za watanzania
 
Saudi arabia, iran na kwingine kwenye uislam konk patakombolewa, Yesu anawapenda watu wa huko, haitakuwa ajabu kukuta makanisa mengi huko watu wakimuabudu kristo
Yesu kashindwa kuwaokoa ndugu zake wayahudi wakaona anawaletea miyeyusho mpaka kumuua ije kuwa wapalestina,, hayo makanisa yangeanza kutapakaa kwanza Israel kwa kina yesu kama mfano kisha ndo tuje huko Gaza,, kwa taarifa yako tu huko Israel kwa kina yesu kuna misikiti mingi kuliko hayo makanisa yako ya kilokole so mngeanza huko kwanza,,,,
 
Ulishaona wapi walokole wanajilipua na kuuwa watu kwa sababu hawafuati imani yao?
Na ww hao waisilamu wanaojilipua n kuuwa watu kwa sababu hawafuati imani yao umewaona wapi?
 
ndiyo mi ni mwalimu, tena mwenye upeo mkubwa, katika kufundisha watoto wa taifa hili hufundisha kwa usawa na haki bila kujali dini na madhehebu yao, nafundisha maadili ya taifa hili kwa mujibu wa mila, desturi na tamaduni za watanzania
Uwafundishaje usawa na haki wakati huo udini unekujaa kichwani?

Kwa hiyo huwa unawafundisha watoto kuwa Israel ni taifa teule hivyo lina haki ya kuuwa, kunyanganya watu ardhi zao na kuwaweka watu kwenye makambi ya wakimbizi ili waishi kama wanyama?
 
Back
Top Bottom