ukianza kutaja mambo ya israel unaingiza udini kwenye mtaala wa ufundishaji shuleni, au hujui kuwa kuna mitaala ya taifa hili kufundishia watoto na hairuhusiwi mwalimu kufundisha vitu ambavyo havipo kwenye mitaala? We mwenyewe ndio una mambo ya kidini. Kama vipi tupande jukwaani tuzungumzie israel kwa mtazamo wa siasa za kimataifa kuhusu mzozo wao na wapalestina bila kuingiza udini, tuangalie humanity and liberty
Kwa unayo yaandikaga humu, huna sifa za kuwa mwalimu ,huo ualimu ulio nao uliupata kimagumashi na wenda ww ni vyeti feki ulio nusulika na panga la jiwe.
Kazi ya mwalimu sio kufundisha kilichoko kwenye mtaala tu bali mwalimu ni mlezi anaye takiwa kuishi na kuwafundisha watoto upendo na kuishi pamoja.
Sasa ww huo upendo kwa watoto wa unao shinda humu unawaita magaidi na wafuga majini na kejeli kibao utautoa wapi wakati hali ya kuwa una mtazamo mbovu juu ya kile wanacho kiamini?
Huwezi kuwa fundisha watoto madhara ya ukoloni na ukandamizaji alafu wakati huo unashinda humu ukiusifia ukoloni wa Israel dhidi ya wapalestina.
Huwezi kuwafundisha madhara ya mitengano kwa misingi ya udini na ukabila ,alafu wakati huo unashinda humu ukiwaita watu magaidi, na hao unao waita magaidi tangu unazaliwa umecheza nao utotoni ,umesoma nao kuanzia awali mapaka mwisho wa elimu yako mpaka kuupata ualimu wako, unaishi nao mitaani,unafanya kazi nao ,mpaka una ndugu na hawajawahi kukufanyia huo ugaidi unao wapachika, na kuwaita wafuga majini hali yakuwa hujawahi kuyaona hayo majini unayo sema wanayafuga.
Kuwemo watu wa aina yako kwenye mfumo wa elimu wa nchi hii ,kunaonesha ni jinsi gani tumejaza vilaza na watu wasio faa kwenye mfumo wetu wa elimu na ndio maana siku hizi tunazalisha wasomi wapumbavu na vilaza.