Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini hawajalipwa.
Amejibu hayo baada ya malalamiko ya Wakulima hao, kujua zaidi kuhusu hoja za Wakulima bofya hapa ~ Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao
Akifafanua sababu za kuchelewa kufanya malipo.
Zaituni Tembo kuhusu madai ya kuwa kuna ongezeko la makato amefafanua kuwa awali hawakuwa na bima lakini kwa sasa wana Bima ya Mkopo kutoka katika Benki ya NMB amnayo ndiyo wanafanya nao kazi.
Akifafanua madai ya ongezeko, anasema siyo ongezeko bali bi Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB wanayofanyanayo kazi.
Akitoa wito Wanachama kushiriki kwenye vikao na kufuatilia hoja zinazoendelea kwenye vikao.
Pia soma ~ DC Tanganyika aagiza Wakulima wa Tumbaku walipwe haraka iwezekanavyo fedha zao