Zaka au sadaka ni hiari, kuwapigia simu waumini kuwakumbusha ni kuwalazimisha

Zaka au sadaka ni hiari, kuwapigia simu waumini kuwakumbusha ni kuwalazimisha

Yesu hakuja kutengua bali kutimiliza.

Amri kumi za MUNGU ni agano la kale. Vipi amri kumi leo tuziache.

Ni watoto wangapi wameshindwa kumaliza shule?

Jua kwanza umuhimu na faida ya zaka kwanza.

Zaka, sadaka, michango na matoleo ndio ukamilisha Ukristo ni maagizo.
Ungefanya financial control ya hayo makanisa ndio ungejua jinsi watu wanavyofuja pesa
 
hakuna anaekulazimisha utoe zaka! ni upumbavu wako tu kudhani kukumbushwa zaka haustahili, tunakumbushwa mengi sio zaka tu! una roho ya kichawi ndio maana haupendi maombi ,na nyie ndio mkipata shida muda wote unamtaka mchungaji, mbwa koko wewe silimu uwe muislam labda kule hawatoi zaka shetani wewe!
Sahihi.kabisa ukichosema
 
Back
Top Bottom