Zaka au sadaka ni hiari, kuwapigia simu waumini kuwakumbusha ni kuwalazimisha

Kunaa watu wana miaka na miaka wanamuomba Mungu wawe matajiri ila Mungu anasema NO.

Wakipata sana basi ni laki laki za kula tu ili wasife.

🥱😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuomba Mungu pekee hakutoshi

Kuna watu huomba Mungu hata kwa kufunga na kuomba hata kwa siku 40 hawafunguki shiida ukiwagusa kutoa fungu la kumi,au sadaka au zaka wakali kama pilipili hawataki lakini hawakosi maombi,na miikesha ya maombi na kufunga na kuomba wanasahsu kuwa sala zote na maombi yanakiwa kuendana na sadaka

Ona Biblia hapa inavyosema

Mdo 10:4​

Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu

Kinachoenda kwa Mungu sio.maombi tuuuu yanatakiwa yaambatane na sadaka

Matajiri ambao hutajirishwa na Mungu huwa waomba Mungu na watoa sadaka sana
Wenye pepo la Umaskini wengine waombaji huomba sanalakimi kutoa sadaka wagumu mno na majungu kibao utakuta hawatoi fungu la kumi,wala sadaka wala zaka
Yeye kazi yake kuomba tu

Utoaji wake ukoje akipata hizo hela zake laki tatu?
 
Shida kubwa umekalili kuwa ucha Mungu ni kujitoa muhanga, kuuwa na kuwachukia watenda dhambi. Mungu alishatoka huko aliua sana na uovu haukuisha akaamua kujivika Rehema na Neema. Bwana Yesu alikuwa rafiki wa watenda dhambi na watoza ushuru.
Jibu swali, huyo Mungu wa wamarekani anaruhusu ndoa za jinsia moja? Hilo pekee linanipa mashaka na mungu aliyeandikwa kwenye noti yao. Mungu wa kweli yupo ila pia tusipinge uwepo wa miungu yenye nguvu na wafuasi hapa duniani.
 
Mimi huwa naelewa wapinga zaka na sadaka,huwa ni wajumbe wa shetani.Ili kuwapumbaza Wakristo wajinga Ili waweze kuwaangusha, sadaka na zaka ni hirizi tosha mchawi akugusi wala kuchezea mali yako.
Wao kwa shetani wanatoa hadi asilimia 80 Ili wapate nguvu. Uleta mafundisho ya kuwakatikisha tamaa Wakristo Ili wasiwe na ulinzi waweze kuwaloga kirahisi.
Hata mimi huwa nashangaa sana Yaani mtu atatoa Laki Tatu kwenye harusi...alafu anaenda kula sahani ya pilau + matango na Bia Mbili na tena anawanyooshea kidole wasio changa na kuwasimanga hawana kitu...

Lakini Anamshangaa mtu anaetoa 50,000 ya fungu la kumi kwenye mshahara wa laki 5 anakomaa eti ni Agano la kale alafu anatarajia Dhoruba na mtikisiko wa kiuchumi ukipita umuache salama...

Alafu huyo huyo anayepinga fungu la kumi kamfuatilie utakuta zaidi ya 50% ya mapato yake anayatumia kwenye Ulevi, Kuhonga, Michango ya harusi na birthday zisizo eleweka...kubet, Ulafi nk ....kutwa kucha anaimba fungu la kumi ni agano la kale...

Si afadhali hiyo fedha nipeleke kanisani Watumishi wakale mkate na Blue band hata wakienda kulipia ada na kununulia watoto wao viatu vya shule bado ni Faida...

Kabla ya kumshangaa anayetoa Fungu la Kumi kwanza jitathmini wewe mapato yako unayatumia vipi?
 
I nashangaa unakuta watu wanashambulia watu wanaojazana makanisani na kutoa sadaka kuwa wajinga ndio waliwao wanatajirisha viongozi wa dini lakini huoni wakienda kushambulia watu wanaojazana kwenye mabaa na kulewa na kuteketekeza mishahara yao kuwa wajinga ndio waliwao wananajirisha wamiliki wa baa !!! Wanashambulia watoa sadaka!!
 
Thibitisha
Tafsiri
1. Zaka kisheria ni kiwango maalumu cha mali kinachotolewa wakati maalumu kwa watu maalumu.

2. Sadaka ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu Mungu na kujiombea fadhili fulani toka kwake.

Tafauti yake sasa.
JIBU: ZAKA/FUNGU LA KUMI Ni moja ya kumi au sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hicho huwa kinakwenda kwa Bwana na ni wajibu kwa kila mkristo mwenye shughuli ya kujipatia kipato kumtolea MUNGU sehemu hiyo ya mapato yake..

Walawi 27: 30 “Tena zaka yote ya nchi, kama ni mbegu ya nchi, au kama ni matunda ya nchi, ni ya Bwana; ni takatifu kwa Bwana.”

Malaki 3: 8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.

9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.

Sasa fungu la kumi au zaka ni tofauti na ‘sadaka/matoleo’. SADAKA yenyewe ni kile ulichonacho juu ya fungu la kumi, kile ulichokirimiwa pasipo sharti lolote la utoaji unampelekea Mungu, sasa zipo sadaka za aina tofauti tofauti kulingana na mahali au mtu mwenyewe, kwa mfano zipo.

1) sadaka za shukrani, hizi huwa mtu anatoa baada ya Mungu kumtendea au kumfanikisha katika jambo Fulani, aidha, afya, ulinzi, masomo, biashara, kazi, familia, n.k. Huwa anaambatanisha sadaka yake ya shukrani mahali Bwana anapolia kiroho ni tofauti na fungu la kumi.

2) Zipo sadaka nyingine za michango: Hizo zipo nyingi kulingana na uhitaji wa kanisa, mfano jengo, uenezaji injili, vyombo vya nyumba ya MUNGU, mahitaji n.k. Hivyo sadaka/matoleo yapo ya aina nyingi, na pia Mungu hajaweka sharti lolote la utoaji ni jinsi mtu atakavyoguswa moyo na Mungu wake, ndicho atakachotoa.

Kutoka 35:5 Katwaeni kati yenu matoleo kwa Bwana; mtu awaye yote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;

Kwahiyo jambo la kukumbuka pia katika agano jipya, ni kwamba Mungu hajamwekea mtu sheria au tanzi yoyote katika kutoa ZAKA hata kama hajisikii tu atoe , hapana hiyo haipo katika Ukristo kwasababu Mungu hapendezwi na mtu atoaye kwa moyo wa huzuni au wa kulazimishwa. Lakini ni vizuri pia ikumbukwe kuwa ni wajibu wa kila mkristo yoyote kumtolea MUNGU wake aliyemuokoa. Ni ngumu kwa mtu yeyote kusema amejazwa Roho halafu suala la utoaji kwake ni mzigo.

2Wakorintho 9:7 “Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.”
 
Walokole wengi ni wachawi na huwa wakua na upendo wa kinafik...mimi binafsi siamini katika hayo madhebu ya kilokole mafundisho yao ni kuchukiana na kurudishana nyuma maendeleo...
ahahahaha ynaweza yakawa kweli maneno yako.
Kuna mama mmoja hiv huku niliko alikaribishwa kuja kusali kanisani kwetu, ndio haya haya ya walokole basi akajaga ila baada ya hapo akasema sitakaa nije kusali huko..Kwanini?? akadai kule watu wamechoka choka sanaaa hata mavazi yao ni duni sanaaa sasa mimi siwez kaa kati ya watu wa namna hiyo maana hata nikija nimependeza kanisani watu wataona kama nafanya anasa au sivai ki Mungu halaf watu wa namna hii mwisho wa siku huishia kukusengenya tu kwa sababu ya inferiority complex zao..HAKUWAHI KURUDI TENA.
 
Nina mambo kadha wa kadha nataka niongee leo. Kwanza samahani mno kwa ndugu zangu walokole wenzangu kwa maneno na maswali makali ninayokwenda kuuliza humu!

Hivi kwa dunia ya sasa mtoto wako kufaulu darasa la saba ni jambo la kumshukuru Mungu mpaka kwenda kanisani KUTOA USHUHUDA?

Ndugu zangu kuna vitu naona kama havi make sense hivi.

Anyway twende kwenye ZAKA.
ZAKA ni sheria ya agano la kale, ambalo YESU alilitimiliza na kutuweka katika neema na si chini ya sheria tena.

Sasa kwa nini Wachungaji wa kileo wanalazimisha watu watoe zaka na kufikia mpak hatua ya kuwapigia simu kuwakumbusha?

Mtume Paulo anasema, "kama umeacha agano la kale liache lote(acha sheria zake zote), na kama unalifuata basi fuata na sheria zake zote".

Sasa kwa nini ndugu zangu WALOKOLE mnachagua chagua? Mpo agano jipya la imani ila kwa nini mnazing'ang'ania baadhi ya sheria ili ziwanufaishe?

Ni bora muweke wazi tu kuwa ZAKA ni hiyari na siyo lazima, kuliko kuwalazimisha watu mpaka kupigiana simu kukumbushana.

Mwisho, naamini Mungu anatoa utajiri na haangalii unamcha au humchi, akiamua yeye anakupa tu. Ila hii haimaanishi tusimche yeye.

Kuna watu wana miaka na miaka wanamuomba Mungu utajiri ila Mungu anasema NO.

Wakipata sana basi ni laki laki za kula tu ili wasife.

Mungu anaangalia zaidi moyo wako, anajua utakuwaje akikupa utajiri.

Zaidi hongereni ndugu zangu mliopata bahati ya kuteuliwa na Mungu mwenyewe muwe matajiri(wa halali lakini siongelei wale wenye ndumba) ili muwatunze wengine.

Asubuhi njema!
Ila msisahau maswali yangu nasubiri majibu hapa.
Upuuzi huu umeenea kwenye makanisa karibu yote. Agano jipya hakuna mahali swala la zaka limeongelewa mwenye kujua zaidi Aminiel ni wapi
 
Tafsiri
1. Zaka kisheria ni kiwango maalumu cha mali kinachotolewa wakati maalumu kwa watu maalumu.

2. adaka ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu Mungu na kujiombea fadhili fulani toka kwake.

Tafauti yake sasa.
JIBU: ZAKA/FUNGU LA KUMI Ni moja ya kumi au sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hicho huwa kinakwenda kwa Bwana na ni wajibu kwa kila mkristo mwenye shughuli ya kujipatia kipato kumtolea MUNGU sehemu hiyo ya mapato yake..

Walawi 27: 30 “Tena zaka yote ya nchi, kama ni mbegu ya nchi, au kama ni matunda ya nchi, ni ya Bwana; ni takatifu kwa Bwana.”

Malaki 3: 8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.

9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.

Sasa fungu la kumi au zaka ni tofauti na ‘sadaka/matoleo’. SADAKA yenyewe ni kile ulichonacho juu ya fungu la kumi, kile ulichokirimiwa pasipo sharti lolote la utoaji unampelekea Mungu, sasa zipo sadaka za aina tofauti tofauti kulingana na mahali au mtu mwenyewe, kwa mfano zipo.

1) sadaka za shukrani, hizi huwa mtu anatoa baada ya Mungu kumtendea au kumfanikisha katika jambo Fulani, aidha, afya, ulinzi, masomo, biashara, kazi, familia, n.k. Huwa anaambatanisha sadaka yake ya shukrani mahali Bwana anapolia kiroho ni tofauti na fungu la kumi.

2) Zipo sadaka nyingine za michango: Hizo zipo nyingi kulingana na uhitaji wa kanisa, mfano jengo, uenezaji injili, vyombo vya nyumba ya MUNGU, mahitaji n.k. Hivyo sadaka/matoleo yapo ya aina nyingi, na pia Mungu hajaweka sharti lolote la utoaji ni jinsi mtu atakavyoguswa moyo na Mungu wake, ndicho atakachotoa.

Kutoka 35:5 Katwaeni kati yenu matoleo kwa Bwana; mtu awaye yote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;

Kwahiyo jambo la kukumbuka pia katika agano jipya, ni kwamba Mungu hajamwekea mtu sheria au tanzi yoyote katika kutoa ZAKA hata kama hajisikii tu atoe , hapana hiyo haipo katika Ukristo kwasababu Mungu hapendezwi na mtu atoaye kwa moyo wa huzuni au wa kulazimishwa. Lakini ni vizuri pia ikumbukwe kuwa ni wajibu wa kila mkristo yoyote kumtolea MUNGU wake aliyemuokoa. Ni ngumu kwa mtu yeyote kusema amejazwa Roho halafu suala la utoaji kwake ni mzigo.

2Wakorintho 9:7 “Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.”
[emoji120][emoji120]
 
ahahahaha ynaweza yakawa kweli maneno yako.
Kuna mama mmoja hiv huku niliko alikaribishwa kuja kusali kanisani kwetu, ndio haya haya ya walokole basi akajaga ila baada ya hapo akasema sitakaa nije kusali huko..Kwanini?? akadai kule watu wamechoka choka sanaaa hata mavazi yao ni duni sanaaa sasa mimi siwez kaa kati ya watu wa namna hiyo maana hata nikija nimependeza kanisani watu wataona kama nafanya anasa au sivai ki Mungu halaf watu wa namna hii mwisho wa siku huishia kukusengenya tu kwa sababu ya inferiority complex zao..HAKUWAHI KURUDI TENA.
Huenda alikuwa sahihi kabisa.
 
Kuchangia kwa hiyari hakuna tatizo lolote. Sasa waseme ukweli waache kutisha tisha watu

Hiari ya kilazima, maana sio hiari ya hiari.

Mnasimamishwa kwny benchi wote, kisha wanasimama wa benchi linalofuata kwnda kutoa sadaka. Kwa hali hii huwezi unajisikia vyema usinyanyuke kwnda kutoa wakt wenzio wote benchi zima wamesimamishwa.

Sasa hapo sadaka sio moja tu, mnaweza kwenda zaidi ya mara 4. Kuna kanisa moja hamtoi kwny kikao, mbarusha pale mbele madhabahuni lila mtu anaangalia nani amerusha nini.

Utasikia njooni mtoe sadaka za ulinzi, kwamba kadri unavyotoa nyingi ndio unapata ulinzi mkubwa, halafu wakt wa kuondoka yy mchungaji anaondoka na msururu wa bodyguards.

Sadaka ni matokeo ya fungu la kumi kwa kile Mungu alichokubarikia.
 
ahahahaha ynaweza yakawa kweli maneno yako.
Kuna mama mmoja hiv huku niliko alikaribishwa kuja kusali kanisani kwetu, ndio haya haya ya walokole basi akajaga ila baada ya hapo akasema sitakaa nije kusali huko..Kwanini?? akadai kule watu wamechoka choka sanaaa hata mavazi yao ni duni sanaaa sasa mimi siwez kaa kati ya watu wa namna hiyo maana hata nikija nimependeza kanisani watu wataona kama nafanya anasa au sivai ki Mungu halaf watu wa namna hii mwisho wa siku huishia kukusengenya tu kwa sababu ya inferiority complex zao..HAKUWAHI KURUDI TENA.
Ndio uhalisia wao jinsi walivyo kabisa...
 
Huyo mungu waliyemuandika kwenye noti zao unamfahamu!? Vipi matendo yao yanasadifu kuamini katika Mungu?
Wao ndo watetezi wa mashoga na ushoga, je ndiyo maagizo ya Mungu waliyemuandika katika noti? Mungu wa kweli haandikwi kwenye noti ambayo ni mali ya shetani.

Hilo neno liliandikwa kipindi taifa linapata uhuru wake,walikua na misingi yote ya kufuata Mungu..
 
Tafsiri
1. Zaka kisheria ni kiwango maalumu cha mali kinachotolewa wakati maalumu kwa watu maalumu.

2. Sadaka ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu Mungu na kujiombea fadhili fulani toka kwake.

Tafauti yake sasa.
JIBU: ZAKA/FUNGU LA KUMI Ni moja ya kumi au sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hicho huwa kinakwenda kwa Bwana na ni wajibu kwa kila mkristo mwenye shughuli ya kujipatia kipato kumtolea MUNGU sehemu hiyo ya mapato yake..

Walawi 27: 30 “Tena zaka yote ya nchi, kama ni mbegu ya nchi, au kama ni matunda ya nchi, ni ya Bwana; ni takatifu kwa Bwana.”

Malaki 3: 8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.

9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

11 Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.

Sasa fungu la kumi au zaka ni tofauti na ‘sadaka/matoleo’. SADAKA yenyewe ni kile ulichonacho juu ya fungu la kumi, kile ulichokirimiwa pasipo sharti lolote la utoaji unampelekea Mungu, sasa zipo sadaka za aina tofauti tofauti kulingana na mahali au mtu mwenyewe, kwa mfano zipo.

1) sadaka za shukrani, hizi huwa mtu anatoa baada ya Mungu kumtendea au kumfanikisha katika jambo Fulani, aidha, afya, ulinzi, masomo, biashara, kazi, familia, n.k. Huwa anaambatanisha sadaka yake ya shukrani mahali Bwana anapolia kiroho ni tofauti na fungu la kumi.

2) Zipo sadaka nyingine za michango: Hizo zipo nyingi kulingana na uhitaji wa kanisa, mfano jengo, uenezaji injili, vyombo vya nyumba ya MUNGU, mahitaji n.k. Hivyo sadaka/matoleo yapo ya aina nyingi, na pia Mungu hajaweka sharti lolote la utoaji ni jinsi mtu atakavyoguswa moyo na Mungu wake, ndicho atakachotoa.

Kutoka 35:5 Katwaeni kati yenu matoleo kwa Bwana; mtu awaye yote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;

Kwahiyo jambo la kukumbuka pia katika agano jipya, ni kwamba Mungu hajamwekea mtu sheria au tanzi yoyote katika kutoa ZAKA hata kama hajisikii tu atoe , hapana hiyo haipo katika Ukristo kwasababu Mungu hapendezwi na mtu atoaye kwa moyo wa huzuni au wa kulazimishwa. Lakini ni vizuri pia ikumbukwe kuwa ni wajibu wa kila mkristo yoyote kumtolea MUNGU wake aliyemuokoa. Ni ngumu kwa mtu yeyote kusema amejazwa Roho halafu suala la utoaji kwake ni mzigo.

2Wakorintho 9:7 “Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.”

Hilo fungu la kumi litolewe wapi kanisani au kuwapa wahitaji?
 
Litolewe kanisani au msikitini then wao ndio wanatoa kwa wahitaji au shughuli nyingine kwa ajili ya dini husika.
Agizo la Mungu ni "TOENI MALI ZENU MUWAPE MASIKINI" kanisa hupokea kwa niaba ya masikini (wahitaji) kwahiyo ni sahihi zaidi kupeleka zaka yako kwa wahitaji moja kwa moja maana viongozi wa siku hizi wamekuwa na tamaa kupita kiasi, wanakula pesa za wahitaji hadharanj!
 
Back
Top Bottom