Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mkuu na vipi nfanyakazi wa mshahara. Tutacalculate vipi faida yake?Zaka unatoa faida unayopata hapo ni ng'ombe wawili.
Kwa mfanyakazi wa mshahara, unatoa 10% ya mshahara wako maana yale ni malipo ya kazi uliyofanya, ila biashara, faida ya mtaji wako ndo unatoa 10%Mkuu na vipi nfanyakazi wa mshahara. Tutacalculate vipi faida yake?
Ok,wazungu matajiri na hao waebrania wanatolea wapi hiyo 10% ya zaka?Kwa mfanyakazi wa mshahara, unatoa 10% ya mshahara wako maana yale ni malipo ya kazi uliyofanya, ila biashara, faida ya mtaji wako ndo unatoa 10%
Wanatoa inform of msaada na ni zaidi ya 10%.Ok,wazungu matajiri na hao waebrania wanatolea wapi hiyo 10% ya zaka?
Kwa mfanyakazi wa mshahara, unatoa 10% ya mshahara wako maana yale ni malipo ya kazi uliyofanya, ila biashara, faida ya mtaji wako ndo unatoa 10%
Kwa mshahara wa 1m after PAYE, utatoa 100K na alafu hela inayobakia, 900K ndo yako sasa inahusika na mambo mengine.je mfanya kazi mwenye mshahara ya 1m kwa mwezi atatoa 100k au atasubir kwanza akate gharama zote alizoingia katika kufanya io kazi mfano nauli kwenda ofisini, chakula akiwa ofisin nk atoe asilimia 10 ya bakaa itayobaki? naomba unijibu mkuu
Nani aliyekuambia Zaka ni 10%?
Tuanzie hapo
Ha ha ha....eti kwa ajili ya ulinzi[emoji28]Kwenye hizi mambo ya imani kumejaa utapeli mtupu, mtu anachukua mkopo benki baba yake wa kiroho anamwambia toa fungu la kumi kwa ajili ya ulinzi wa huo mkopo[emoji1664]
Huoni mfanyakazi anakua amenyonywa?Kwa mfanyakazi wa mshahara, unatoa 10% ya mshahara wako maana yale ni malipo ya kazi uliyofanya, ila biashara, faida ya mtaji wako ndo unatoa 10%
Sioni unyonywaji kama una nidhamu ya pesa.Huoni mfanyakazi anakua amenyonywa?
Changamoto Ni zinakopelekwa izo zaka,Sioni unyonywaji kama una nidhamu ya pesa.
Peleka kwenye Kanisa linalohubiri sana habari za dhambi na kuishi maisha mema. Ukiona kanisa sijui inahubiri upate gari au nyumba, achana naloChangamoto Ni zinakopelekwa izo zaka,
Hasa kwa haya makanisani ya kilokole
Zaka ntatoa kwa wenye uhitaji direct,kwingine HAPANAPeleka kwenye Kanisa linalohubiri sana habari za dhambi na kuishi maisha mema. Ukiona kanisa sijui inahubiri upate gari au nyumba, achana nalo