Zama hizi ni sahihi kwa mkaka kumuoa binti bila kumuonja?

Zama hizi ni sahihi kwa mkaka kumuoa binti bila kumuonja?

It is a provocative question mkuu. Umullize "mchumba wangu kwani wewe bikra?"

Ni swali rahisi kujibu kama ana bikra, lkn kama hana mdada anaweza kufura kama chatu.
[emoji3]kwani akifura atakumeza kama chatu
 
Onja baada ya kumjua, kabla don't try this at home, nyege upofusha tabia mbaya za mtu, utazionea ndoani, ni rahisi kuvunja uchumba kuliko ndoa
 
Kama ni bikra yanazungumzika.
Lakini kama sio bikra huyo jamaa anapifwa kweupe.
Kwanza kwanin anaogopa kumuuliza kama ni sealed or not?
Sometimes wanaume tunakua na upole uliopitiliza, kama n kweli bikra, lazma aweke mkataba kua akikuta ndivo sivo ndoa inavunjwa na gharama znarudishwa. Na kama sio bikra, bora kutemana tu kila mtu akatombe kivyake.
 
Onja baada ya kumjua, kabla don't try this at home, nyege upofusha tabia mbaya za mtu, utazionea ndoani, ni rahisi kuvunja uchumba kuliko ndoa
Mkuu, hawa wanafahamiana mahala pa kazi. Na mkaka kaonesha interest ya kumuoa dada for 2 years. Kwahiyo ameridhika kitabia.

Tatizo hajamuonja "bibi"
 
Kama ni bikra yanazungumzika.
Lakini kama sio bikra huyo jamaa anapifwa kweupe.
Kwanza kwanin anaogopa kumuuliza kama ni sealed or not?
Sometimes wanaume tunakua na upole uliopitiliza, kama n kweli bikra, lazma aweke mkataba kua akikuta ndivo sivo ndoa inavunjwa na gharama znarudishwa. Na kama sio bikra, bora kutemana tu kila mtu akatombe kivyake.
[emoji122]
 
Apo mkaka ndio anazingua, unaanzaje kumtimizia mahitaji yake while yeye hakutimizii.

Wangekubaliana tu mm sikupi pesa mpaka ndoa na wewe usinipe tunda mpaka ndoa. Easy peasy

Otherwise jamaa akipigaa chini maumivu yake hatosahau maisha yake yote.

Relationship should be two-way, no mara waaa, no mara waaa
 
Kuna wanao bakwa na asijue aliyemfanyia hilo tukio
mchumba lazima kwanza awe rafiki wa kushibana, kwahiyo utayajua mengi kumhusu.
ni aibu kuwa na mpenzi mwaka mzima hujui kama ni bikira au lah

mwanamke anaekupenda ni mwepesi sana kusema historia yake
 
Binafsi nikimuoa baby wangu kabla ya kumuonja halafu nikamkuta Ni VIRGO INTACTA.
Sijawahi kuona p*ssy tamu Kama yake, hata mchepuko na limbwata lake na maneno yake matamu hafui dafu.
 
Back
Top Bottom