😂Point less
Hata ingekua ni vijana wa kiume, kwan shida nn? Si ni maisha yao.Sio awataki kuolewa bali wana tome boy-iana hawa wanawake wa sasa.
wiki jana nimewafuma bint wa chuo na wa O level wanakulana mate,walivyogundua nimewaona wala hawakushtuka na ni majirani tupo nao kitaa.
Kajala anauza papa aolewe atagawa vipiNi wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.
Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7.
8.
9.
Ongezea na wewe msomaji.
Kwahiyo, wewe mwanamke unayefikiri ndoa ndiyo mkombozi wako endelea kushobokea.
Bado walio olewa Ni wengi kuliko hao..Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.
Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7.
8.
9.
Ongezea na wewe msomaji.
Kwahiyo, wewe mwanamke unayefikiri ndoa ndiyo mkombozi wako endelea kushobokea.
Kama unamzungumzia Zuhura~kaolewaKuna yule mstaafu wa Bbc
Zuhura kaolewa mwaka jana akiwa na 53Kama unamzungumzia Zuhura~kaolewa
Kataja taka tupu hapo, tena taka ngumu haswaa.Umetaja
tom boy
Malaya
Wadangaji
Feminist
Wanawake wa kuolewa hawana sifa hizo.
Hapo hakuna ke wakuweka ndaniKataja taka tupu hapo, tena taka ngumu haswaa.
NuktaKuolewa ni maamuzi sio mali wala cheo