Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

Kuna mmoja hapo umetaja toka redio hkn kitu , tushapiga ..na akilewa anakua mbwa tu , unajipigia kilaini kbs
 
Hamna mweny kipato cha kumshinda Dr Tulia hata Madam ritta ...Madam ritta analilia ndoa kabisa ..

Asilia itafanya maamuzi yake.

Hao wote hapo sura zinashakomaa ni outdated ,soko lishawatupa mkono ...Huko chini kumenyata miaka 40 hamna jipya hata mkorogo unadunda.
 
Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.

Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7.
8.
9.
Ongezea na wewe msomaji.

Kwahiyo, wewe mwanamke unayefikiri ndoa ndiyo mkombozi wako endelea kushobokea.
Ungetaja na wanaume ambao walitaka kuwaoa wakakataliwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nataka niwahakikishie Watanzania wote kuwa Taasisi ya Ndoa bado ipo imara sana (In Kassim Majaliwa Voice) pamoja na Vita kubwa inayoelekezwa kwake kutoka Timu Kataa Ndoa and likes

Kwa taarifa yenu, niko kwenye hatua ya mwisho mwisho kuongeza Mke wa 4 hivi karibuni 🤗
 
c kweli mwanamke hat awe na pesa kumzidi dangote kuna mahali akifik lazima aitaji mume, hao uliowataja baadhi yao walishaolewa wakaachik shauri ya kuleta ustar hd ndani ya ndoa..wapo mastaa wenye kipato kikubwa mbona wameolewa akiwemo nandy...
 
Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.

Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7.
8.
9.
Ongezea na wewe msomaji.

Kwahiyo, wewe mwanamke unayefikiri ndoa ndiyo mkombozi wako endelea kushobokea.
Jifunze kutofautisha pesa na umaarufu.
Hivi watangazaji wanawashika akili na hizo laki 3 zao kweli? Kisa wanapakwa makeup bure basi wanawafanya muone ni matajiri?
Kuna mama muuza mtumba kwa siku pesa anayolaza hao ulowataja wanaipata kwa miezi mitatu.
 
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6. Veronica Simulizi.
7.
8.
9.
Ongezea na wewe msomaji.
Ongezea hapo mzee Mdee na yule mwenzie Esther Bulaya..

Ila hawa Tomboys ni mifano mibaya, siyo wa kuigwa
 
Wanawake wenye mafanikio wameolewa.

1. Mh. Dr. Samia ameokewa na Mr. Amier
2. Mh. Dr. Tulia ameokewa na boss wa ewura
3. Mbeijing mkuu, mama mongers, ameolewa na Mr. Viane
4. Mama yangu, ameokewa na baba.
5. Wanu amier, mb ameolewa na mchengerwa
Good..
Ongezea
6. Dr. Asha-Rose Migiro (former deputy secretary-general of the United Nations) aliolewa na Mr. Cleophas Migiro

Wanawake kama hawa, wanaojitambua, ndo wa kupigia mfano
 
Kuolewa ni kitendo Cha mwanamke kuwa chini ya mwanaume ili uwe chini ni laxima uwe na uchumi wa chini
 
Wasagaji ndio wanakataa ndoa. Na ubinafsi pia umo. Ndoa ni moja ya mihimili muhimu ya jamii na familia.
 
Back
Top Bottom