run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Wakunyer mkuu tena chenye harufu kali mno usione wanapendezaKwani wanawake wanakunyer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakunyer mkuu tena chenye harufu kali mno usione wanapendezaKwani wanawake wanakunyer?
Pole bila shaka safar yako ilikuwa ndefu sana!!! Sitothubutu kupanda hayo magar. Next time chek Kidia One pia wako poa sana!!Juzi kati nikawa na kijisafari cha kuelekea mikoa ya huko kaskazini mwa Tanzania.
Nikasema ngoja nipande Kilimanjaro express, duh kwa kweli nilijuta sana kupanda lile basi.
Cha kwanza tulidanganywa kuwa basi ni luxury hivyo tukakatishwa nauli kubwa ila kiuhalisia hakuna luxury bus pale, bus siti zake zimechakaa,ndani linatoa harufu kama ya uvundo flani hivi,hakuna cha AC wala TV ndani ya basi. Basi lilikua limejaza kiasi kwamba abiria wengine wakawa wamekaa pale mbele kwa dereva na tulikua tukifika karibu na mizani wanawashusha baadhi ya abiria wanawachukulia bodaboda then tunawakuta mbele ya safari tukishavuka mizani.
Wahudumu wa basi ni kama wamekata tamaa yani hawana mwamko na kazi yao wanaongea lugha mbaya kwa abiria,badala yake muda wote wa safari walikua wamekaa tu kule mbele wanapiga story pasipokusikiliza abiria
pia bus lilikua linavuja.
Kwa kweli Kilimanjaro express niliyoipanda miaka mitano huko nyuma ina tofauti kubwa sana na hii ya leo.wakati narudi Dar nikasema ngoja nijaribu kupanda BM coach,kwa kweli nimeinjoy sana kusafiri na BM,huduma nzuri sana na wahudumu wao wakarimu mno.
Kilimanjaro express msipobadilika na kufanyia kazi hizi kero za wateja wenu basi naweza kusema huu ndiyo mwisho wa zama zenu.
Kuna hizi G7 kama sijakosea T 163 DMH ,T 165 DMH, T 622 DPT ...kama wangezitunza vyema ni bus kali sana kwa ndani na pia mwendo.
Niliwahi pata T 163 DMH mwaka jana..Same tulifika saa Tano na robo na tukakalishwa hapo na Askari mpaka saa Saba.
Kuna huo uchuro wa AQN zile Marcopolo za miaka ile..na wana uchuro mwingine wa BVN Yutong ya miaka ili siti fupi vibaya mno.
Ndio naijua mamaUnaijua Extra luxury wewe?[emoji3]
Asante Mkuu...nimepanda panda sana hayo madude yao..Kila uchwao wanazidi kushuka.Alinunua kwa dar lux akabadili namba ila ilikuwa 908 DNU
HUU NI UKWELI KIONGOZI KILIMANJARO SIYO TENA ILE, BORA UPANDE MABASI YA HIVI VIKAMPUNI VIDOGO VIDOGO, KIUHALISIA BM HATA MIMI NAIKUBALI HUDUMA ZAO NI NZURI NA MABASI YANAELEWEKA, ATLEAST KAMA SI LUXUARY NI SEMI LUXUARY HUWEZI LINGANISHA NA KILIMANJARO AMBAYO HAINA TOFAUTI NA MBAZI NA NGORIKASio tangazo la biashara hili la kutangaza BM coach
Sawaya bado yupoNi kama mmiliki wake keshatangulia
Daah ukitaka biashara yako iyumbe pakubwa , basi wana JF waijadili udhaifu wake , umekwishaaa, wanakusagia kunguni Ile ileKilimanjaro kwisha habari yake...
Mabasi yake ni nganganga...
BM ni mabasi ya hovuo sanaSio tangazo la biashara hili la kutangaza BM coach
Tokea zaman sipandagi Kilimanjaro kwa sababu ya huu ujinga unatoa ela nyingi hata Ac hamna wanazingua sanaTatizo ni hapo wanachukua 33k wakati gari ni ordinary wanatakiwa 17k. MBUZI WAKUBWA.
Tuko busy na mahindi mpakani tunduma tunapeleka kenya mkuu. Ama hujui[emoji28][emoji28]Halafu mabasi yao yanataga sana siku hizi, ukifika pale hotelini kwao Korogwe mnashuka wote hakuna kubaki mtu kwenye basi, tatizo bei pia ya chakula ni kipengele... Sawaya sijui nini kimemkumba..
Kajaa tele boss. Mahundi yupo na sawaya yupoKwani mmiliki bado yupo.