Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

Pole bila shaka safar yako ilikuwa ndefu sana!!! Sitothubutu kupanda hayo magar. Next time chek Kidia One pia wako poa sana!!
 
Alinunua kwa dar lux akabadili namba ila ilikuwa 908 DNU
 
Wangekuwa na utaratibu wa kukaa na basi kwa miaka 4, na baada ya hapo wawauzie kampuni changa; miaka yote wangekuwa na magari mapya, na kampuni inakuwa imara.
 
Sio tangazo la biashara hili la kutangaza BM coach
HUU NI UKWELI KIONGOZI KILIMANJARO SIYO TENA ILE, BORA UPANDE MABASI YA HIVI VIKAMPUNI VIDOGO VIDOGO, KIUHALISIA BM HATA MIMI NAIKUBALI HUDUMA ZAO NI NZURI NA MABASI YANAELEWEKA, ATLEAST KAMA SI LUXUARY NI SEMI LUXUARY HUWEZI LINGANISHA NA KILIMANJARO AMBAYO HAINA TOFAUTI NA MBAZI NA NGORIKA
 
Sasa hivi KLM ni mzee wa semi trailers na mende, naona biashara ya mabus kaipa kisogo.

Mimi sipandi mabasi, nadandia anything mda wowote, nina mda sana sijapanda basi.
 
Sio tangazo la biashara hili la kutangaza BM coach
BM ni mabasi ya hovuo sana

Abood nazo zimeanza kulaza mateja kwenye kituo pale Mbezi.
Nilikuwa naenda Mbeya nikakalishwa siti ya nyuma kumbe teja kalala na kamwaga kojo. Abiria wengi tulibidi kubadili nguo pale Morogoro
 
Halafu mabasi yao yanataga sana siku hizi, ukifika pale hotelini kwao Korogwe mnashuka wote hakuna kubaki mtu kwenye basi, tatizo bei pia ya chakula ni kipengele... Sawaya sijui nini kimemkumba..
Tuko busy na mahindi mpakani tunduma tunapeleka kenya mkuu. Ama hujui[emoji28][emoji28]
Tulikia tunalaza mpk mil 8 kwa semi. Walivyivamia watu ndo unalaza 6. Fuso unalaza 2.5
Mabasi imeshakua biashara kichaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…