Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

Tena za mwaka huu..

Huyu Depal alipanda lini KLM usikute alipanda 2009 akisoma Marangu Girls ukoo form 2.
KLM mara ya mwisho nimepanda last year July… Dar- Arusha

Bus ni nzuriiii
Shida ni mwendoo

Na mwaka huu juzi kati tu hapo nilipanda ya Moshi- Arusha
Saa 2 usiku,, niliekaa nae akalalamika wamechelewa sana mwendo slow kma kawaida yao.

Maana anasema ingekuwa bus nyingine saa 1 tushafika Arusha, ila hiyo nimepanda ilikuwa saa 2 uck na ndo Moshi 😂
 
Hiyo Kidia ndio apande uyu aachane na gari unapanda mnakaa road hadi uliekaa nae mnazoeana, mnatongozana, mna break-up na mnarudiana..
 
Esther je ?
Hiyo gari siwezi kuipanda. Naenda sana njia ya Kiwangwa almost kila week. Jinsi yale mabasi yanavoendeshwa siwezi kabisa kujaribu. Madreva wao hawana busara njiani kabisa. Kuna dreva kwenda mpera mpera ila akawa na tahadhari. Ila uendeshaji wa hayo mabasi sijawahi kuupenda maana nakutana nayo sana njia ya Bagamoyo hadi Kiwangwa.
 
Hiyo Kidia ndio apande uyu aachane na gari unapanda mnakaa road hadi uliekaa nae mnazoeana, mnatongozana, mna break-up na mnarudiana..
🤣🤣🤣🤣Au mpaka unapata na mpenzi wa 2 naye mnaachana pia humohumo🤣🤣🤣🤣 So far am on Kidia 1. Hii mambo ya speed ntakaza roho 😀💪
 
Wahudumu wake wanachukulia Poa wateja
Hiyo Mizigo wanayoringia nayo wataanza kuikosa soon.
 
  • Thanks
Reactions: Cyn
nimepanda juzi kwenda moshi nikapata na kimasihara[emoji23][emoji23]

So far,huduma zao ni nzuri sana nimezipenda
 
20221106_082100.jpg

Vyuma hivi hapa..
 
Back
Top Bottom